Wakuu!
Kampeni za CCM zinaendelea kwa nguvu huku Salim Alaudin, mbunge wa jimbo la Ulanga kwa kipindi cha 2020/25 na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Agosti 29, 2025. amesema, "Mhe. Rais sisi Wananchi wa jimbo la Ulanga tumejiambia hivi, tukimuona Mtu anakusema vibaya tunatumia njia...