GE2025 Salim Alaudin: Sisi Ulanga ukimsema vibaya Rais tunakuloga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Kampeni za CCM zinaendelea kwa nguvu huku Salim Alaudin, mbunge wa jimbo la Ulanga kwa kipindi cha 2020/25 na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Agosti 29, 2025. amesema, "Mhe. Rais sisi Wananchi wa jimbo la Ulanga tumejiambia hivi, tukimuona Mtu anakusema vibaya tunatumia njia mbadala, tunakuloga"

Yaani uroge mwenzio sababu ya kofia na bicycle ?
Upo sawa sawa?
 
Wakuu!

Kampeni za CCM zinaendelea kwa nguvu huku Salim Alaudin, mbunge wa jimbo la Ulanga kwa kipindi cha 2020/25 na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Agosti 29, 2025. amesema, "Mhe. Rais sisi Wananchi wa jimbo la Ulanga tumejiambia hivi, tukimuona Mtu anakusema vibaya tunatumia njia mbadala, tunakuloga"

Aina hii ya kiongoz ni mzigo
 
Sasa si waroge barabara zitokee, majengo mazuri yatokee, watu wawe na pesa, hospitali ziwe bwerere....

CCM kweli ni laana...
 
Wakuu!

Kampeni za CCM zinaendelea kwa nguvu huku Salim Alaudin, mbunge wa jimbo la Ulanga kwa kipindi cha 2020/25 na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Agosti 29, 2025. amesema, "Mhe. Rais sisi Wananchi wa jimbo la Ulanga tumejiambia hivi, tukimuona Mtu anakusema vibaya tunatumia njia mbadala, tunakuloga"

Kobazi kwenye moja na mbili
 
Gerezani tumeshamchota nyayo tumpige uchawi wa kiatu
 
Back
Top Bottom