Katika usawa huu wa waandishi machawa, waongelea masihara pasipo masihara, dhihaka palipo serious, kuimba nyimbo za sifa, kuogopa ku-balance habari, kurusha habari za udaku muda wote angali zinazo trend ni zile serious, etc
Sina mengi ya kusema ila unajionea mwenyewe kazi yake.
Akiwa karibu kabisa na uso wa Mbowe, Salim Kikeke amesikika akimuuliza mwenyekiti, nanukuu "watu wako wapi, mbona hamna kabisa watu wa kuandamana" bila kumumunya maneno gwiji la demokrasia Afrika mh Mbowe akajibu "tutaandamana na nyinyi(waandishi)".
Kulikuwa na haja gani ya Kikeke kuuliza swali...
Huyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.
Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia...
Salaam wakuu;
Kwa siku za karibuni naona kipindi cha KASRI cha salim kikeke ndio imekuwa Drive show nzuri zaidi, ukizingatia maudhui yake na watu anao wahoji.
Jamaa naona ana bonge moja la idea, Kweli aliyekuzidi ki exposure amekuzidi tu.
Baadhi ya vijana, wajifunze sana kwa salim kikeke...
Kuna kipindi kinachofanywa na Crown FM cha Salim Kikeke cha mahojiano ambacho kikishafanyika huwekwa YouTube kwa kumbukumbu.
Inavyosemekana mahojiano ya Kikeke na Afande Muliro wamechimbwa biti wasirushe kupitia YouTube wala kokote.
Je ni kweli, na kama ni kweli nini sababu?
Uhuru wa vyombo...
PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke.
Pia soma
Lakini kusema ukweli Zuhura hakutosha ile nafasi! Kitu pekee aliongeza ni Press tu, kwenye Branding alifeli
Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka katolewa Ikulu?
Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali...
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza.
Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content.
Hao watangazaji wa kuiba kwa wengine ili mtengeneze story mjikane walimdodea Majizzo kina B 12...
Mtangazaji Nguli, Mwanahabari na Mwandishi wa habari mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Salim Kikeke amejiunga na Redio/TV ya Crown FM/TV inayomilikiwa na Alikiba.
Hii ni baada ya Alikiba kusasisha video inayoonyesha Salim Kikeke akikataa kupokea simu ya Wacha Fu FM inayotafsiriwa kuwa ni...
Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono 😀😀
anafaa
ccm
ccm taifa
chama
hongera
itikadi
jokate
katibu
katibu muenezi
katibu mwenezi
kifo
kina
kuteuliwa
kwenda
mpya
mwenezi
mwijaku
nec
salimkikeke
taifa
uenezi
Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt...
Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira...
Na nasikia kumbe Walikudanganya kuwa kwakuwa Mteuwaji Mkuu ni Muislamu basi nawe Muislamu Mwenzake hatouacha na atakuteua na haijawa.
Na Mmoja wa Watu waliokudanganya yuko Wizara ya Utalii ( ila siyo Waziri ) japo ni Mtu wa Mfumo ( System ) na Wengineo Wanne ( Mmoja akiwa ni Mwanamke )...
Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali...
Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC...
Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania?
Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii!
Niwatakie jumapili njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.