salim kikeke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Utabiri: Salim Kikeke kuingia Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke. NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
  2. mugah di matheo

    Salim kikeke kumrithi Msigwa?

    Naona ni swala la muda tu tutapewa tangazo hilo,,hasa baada ya Msigwa kuhamishiwa wizara ya habari kuwa katibu mkuu ni wazi Sasa kuwa kikeke hakuacha kazi bure kule London
  3. Mbute na chai

    Kiswahili cha bbc baada ya Zuhura Yunus & Salim Kikeke kuondoka

    Kwa anaye kielewa anijuze. Wakenya wanaharibu sana lugha yetu. Kurasa za mitandao ya kijamii ya bbc imegubikwa na Kishwahili kibaya sana(kisicho fasaha). Ili nalo likatazamwe!
  4. BARD AI

    Salim Kikeke ajiunga na EFM na TVE

    Mtangazaji Salim Kikeke amechukuliwa rasmi na Kituo cha Radio na TV cha E FM na TVE ikiwa ni miezi 5 tangu alipoachana na BBC ya Uingereza. Vipi huu usajili huu Majizzo katisha au Kikeke kachemka?
  5. Dr Rutagwerera Sr

    Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

    Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm. Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo. Tanzania ni...
  6. GENTAMYCINE

    Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani...
  7. R

    Video: Salim Kikeke kuhusu Memorandum of Understanding (MoU)

    "Inaitwa Memorandum of Understanding- Concession Agreement au Lease Agreement au utaratibu mwingine utafuata baada ya mchakato yakinifu kukamilika. Don’t worry 😉" Tuliosoma Cuba tukiangalia na kavideo alikopost tunatambua uzalendo wake kwenye hoja hii. =======
  8. Notorious thug

    Tetesi: Waihiga Mwaura kuwa Mrithi wa Salim Kikeke BBC

    Baada ya Salimu Kikeke kutangaza rasmi kustaafu kazi ya utangazaji pale BBC swali kubwa lilikua nani mrithi wake? Kutoka The Citizen Tv ya nchini Kenya hadi BBC ni ndugu Waihiga Mwaura(38) ambaye amehudumu The Citizen Tv kwa miaka kumi na nne(14) ndio anayeenda kuirithi nafasi ya Salim Kikeke.
  9. F

    Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

    Wakuu mpo poa? Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu. Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
  10. M

    SoC02 Ongezeko la idadi ya watu wasiopiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tanzania ukilinganisha na miaka 5 iliyopita

    Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba, Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
  11. Zombi Mweusi

    Kwanini Rais Samia aliamua kujibu hivi kuhusu Katiba Mpya?

    Kuna clip naiona ikionesha mahojiano ya Salim Kikeke na mama wa Taifa. Salim alimuuliza mama tutegemee lini katiba mpya. Mama akajibu majibu fulani ya kufarakanisha.
  12. J

    Mahojiano na Rais Samia: Natumaini Dkt. Ryoba ataanzia pale alipoishia Salim Kikeke badala ya kurudia maswali yale yale

    Rais ni taasisi hivyo tunategemea mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ryoba atakuwa na mjadala mpana katika majadiliano yake na Rais Samia badala ya kuuliza yale yale yaliyoulizwa na mtangazaji nguli wa BBC Salim Kikeke. Ni Leo! Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
  13. mekuoko

    Taifa langu linateketea kwa kukosa maarifa

    Speech Mh. Samia Suluhu Hassan jana akihojiwa na Kikeke wa BBC naona imeligawa taifa. Kwamba tabaka la watawala na Watawaliwa. Na kwamba ukishaazishwa uongo basi unasimamiwa na wote ili kulinda madaraka. Kundi hili la watawala wanawatoza watawaliwa wanyonge makodi makubwa bila kujali kama...
  14. n00b

    Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
Back
Top Bottom