Hivi karibuni, nilipata mualiko kwa kamchepuko kangu, ambaye anadai ana ujauzito wangu.
Ikabidi niwe mzalendo na kuamua kufunga safari mpaka mkoa aliopo.
Baada ya kufika, nikatafuta eneo la malazi; nikapiga maji kidogo ili kuondoa uchovu, nikawa nimeagiza kinywani nakunywa taratibu hapo...