Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena.
Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.
Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
Moja kwa mmoja kwa hasira kubwa..
Ilikuwa haijawahi kunitokea zaidi ya kusikia kwa wenzangu kua mara nyingi unakuta mtu kaweka bocha ya ngama kufanyia shughuli mbalimbali unakuta ghalfa akijiunga salio halitoshi na akicheki salio wamekata kwa kweli inatia hasira sana. Na ukijaribu kuwapigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.