Jana Oktoba 2,,2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni na Kimara kukagua utoaji wa huduma na kuzungumza na wananchi.
Akiwa Kivukoni, alikutana na changamoto ya wafanyabiashara wa samaki waliodai wamezuiwa kupakia bidhaa zao kwenye mabasi mapya...