Habari wana jamvi!??. Uamuzi wa Samatta kila mtu anaujua sihitaji kuuelezea kwa upana. Astoni Villa ipo kwenye hatari ya kushuka daraja, Samatta alicheza UEFA Champions League msimu uliopita lakini sasa anaenda kucheza Championship.
Makonda alikua mkuu wa mkoa wa Dar anaenda kuomba kugombea...
Siku nilivyosikia ndugu yetu anaenda Aston Villa FC nikajua ana wakati mgumu sana kwasababu kubwa mbili:
1. Muda ulikuwa umesonga sana, angeenda mwanzo wa msimu angeweza kuonesha makali yake hata timu ingeshuka yeye kama mchezaji huenda angeonekana na kusajiliwa na timu nyingine za ligi kuu...
Mdogo wetu mambo si mambo
Aston Villa vs. Chelsea
dakika ya 15, bila bila
Ally Samatta hayumo
Mtangazaji kasema namba yake imechukuliwa na Keinan Davis, in case you are wondering where he is
Habari wadau..
Mbona watu wengi wenye mafanikio wamesoma kayumba?
Hizi shule za kizungu zinakosea nini kuandaa watoto ?
Nimepima sector zote.. kuanzia michezo, business, politics, music, engineering naona kayumba wanaongoza...
Nawaza tu hizi shule za mtoto kubeba begi kubwa na kuchukuliwa na...
Goli 4-0 ni kipigo kikubwa kwa timu iliyo kwenye hatari ya kushuka zaidi. Nimeifuatilia kwa karibu klabu hii hivi karibuni tangu alivyotua ndugu yetu pale, na nilichokigundua kuna tatizo katika idara za ulinzi na hata viungo, pia kocha naye inambidi awe mbunifu wa kubadili mifumo ya uchezaji kwa...
Samatta ni mchezaji mkubwa aliepitia changamoto nyingi hadi kufika pale alipo. Sidhani kama anapaswa kuhangaika na maoni ya mashabiki wake kwenye mitandao.
Hakuna kocha au mchezaji mkubwa makini duniani ambaye atakisikiliza comments za mashabiki mitandaoni na kufanya maamuzi kuhusu mchezaji...
Hii tabia ya kujifanya tunaujua mpira saaaaana hadi kwenda kuchafua page ya Aston villa na wachezaji, hakika tunamharibia kijana wetu tunayempenda saana. Atakosa ushirikiano kwenye timu na mwisho aonekane tu hafai. Jifunzeni kutoka kwa wenzenu, wanakosoa na kutoa ushauri bila kutukana matusi...
Kijana wetu katupia goal lake la kwanza, naona anaimbwa na wakoloni uwanjani.
Kocha Smith kamuamini kucheza dakika zote 90' 👏
Hata kama wamefungwa tulitaka hili litokee goooooal
Habar wanajamvi
Swali langu kwenu ni kwanini tusimtumie Bongo Zozo kwa kutangaza utalii? Huyu bwana ana Utanzania kuliko watanzania wenyewe
Jana alikuwa na bendera ya taifa pale Uk akiangalia mechi ya kwanza ya Samatta huko EPL. Mtu kama Harmonize, Kitenge na wengine walikuwa wanaonyesha meno...
Bournemouth (A),
Tottenham Hotspurs (H),
Southampton (A),
Sheffield United (H),
Chelsea (H),
Newcastle United (A),
Wolverhampton (A),
Liverpool (A),
Manchester United (H),
Crystal Palace (H),
Everton (A),
Arsenal (H),
West Ham (H).
H= home
A= away.
Kila la kheri Samatta
Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.