Aliyetia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Wakili wa kujitegemea Sambwee Shitambala, amekanusha tuhuma za kuhama chama hicho na kwenda Chama kingine cha upinzani kama uvumi unavyosema.
Wakili Shitambala amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...