Aliyetia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Wakili wa kujitegemea Sambwee Shitambala, amekanusha tuhuma za kuhama chama hicho na kwenda Chama kingine cha upinzani kama uvumi unavyosema.
Wakili Shitambala amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi yake na kutoa taarifa rasmi kuwa bado anaendelea kubaki Chama Cha Mapinduzi na si kwenda chama kingine cha upinzani
Pia Shitambala ametangaza rasmi kuanza kampeni ya kuomba kura ya Urais, Ubunge wa Mbeya Mjini na kwa Madiwani na amewasihi amewataka wagombea wenzake ambao kura hazikutosha kuungana kwa pamoja ili wasiwe kikwazo kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 Mwaka huu.
Chanzo: ITV DIGITAL