Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoani Kilimanjaro kimezindua ofisi zake za Jimbo la Same Magharibi Mkoani humo sambamba na kuanza kupokea fomu za watiania walioomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea nafasi ya Ubunge
Akizungumza Agosti 13, 2025 wakati akirejesha fomu ya kuwania ubunge Jimbo...