Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!
Kazi na Utu...!
Kwa fahari kubwa sana na kwa tabasamu lisilo kifani na nikiwa kama mdau wa muda mrefu hapa JF mwenye kuipambania kero ya kutokuwepo kwa bima ya afya kwa wote ninayo furaha kubwa sana kutambua usikivu wa Mhe. Rais na Mwenyekiti wa CCM SAMIA...