Ujenzi wa barabara mpya zinazoelekea Samia Stadium unaendelea, ukiwemo ujenzi wa barabara kutoka Mataa ya Sakina kuelekea Kona ya Nairobi pamoja na Daraja la Essuri linalounganisha eneo hilo na uwanja wa AFCON.
Miundombinu hiyo inalenga kurahisisha usafiri, kuimarisha muunganiko wa maeneo ya...