Barabara mpya zajengwa kuelekea Samia stadium

Barabara mpya zajengwa kuelekea Samia stadium

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Ujenzi wa barabara mpya zinazoelekea Samia Stadium unaendelea, ukiwemo ujenzi wa barabara kutoka Mataa ya Sakina kuelekea Kona ya Nairobi pamoja na Daraja la Essuri linalounganisha eneo hilo na uwanja wa AFCON.

Miundombinu hiyo inalenga kurahisisha usafiri, kuimarisha muunganiko wa maeneo ya jiji na kuongeza utayari wa Tanzania kwa mashindano ya AFCON 2027.

IMG-20261102-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom