samia suluhu hassan

  1. P

    Rais Samia Suluhu Hassan ndiye muanzilishi wa program nyingi zaidi Tanzania kuwai kutokea

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Naona kila kitu imekuwa ni Samia. 1. Madaktari wa Samia 2. Waalimu wa Samia 3. Mitungi ya gas ya Samia 4. Wanasheria wa Samia 5. Shule za Samia 6. Ongezea na program zingine
  2. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia ahahidi miradi mikubwa ya maji, barabara na bandari mkoani Tanga

    Rais Samia akihutubia wananchi Uwanja wa Mkwakwani-Tanga Februari, 2025 https://www.youtube.com/live/Lqk6B8qSCoI?si=2Z5y6iUkJ_BXBm31 Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya...
  3. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tanga: Rais Samia agawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza

    Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025. https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q Ester Barua ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila iliyopo Muheza mkoani Tanga akiwa kwenye kiti cha Rais Samia...
  4. upupu255

    Pre GE2025 Aweso: Rais Samia umetutoa pangoni watu wa Pangani

    Baada ya Kabudi kusema alitolewa JALALANI, Aweso naye amesema Wanapangani wametolewa PANGONI "Nataka niseme Rais jambo ulilolifanya katika wilaya yetu ya pangani nataka nikuambie umetutoa pangoni tunakwenda kupaa angani" -Juma Aweso Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali...
  5. Ojuolegbha

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  6. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
  7. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini watanzania wanaona wako salama zaidi kuongozwa na CCM chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu?

    Nini kimepelekea upinzani kutoaminika kabisa nchini, kukosa hamasa na kuonekana kana kwamba ni watu wa mipango ya kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi yao binafsi tu na sio kutumikia wananchi? Nini hasa kinafanya hata baadhi ya vyama vya upinzani kuonekana kama ni makundi ya kukinufaisha...
  8. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  9. Roving Journalist

    Rais Samia: Afrika lazima inufaike na thamani ya Kahawa yake – Tunapata 0.5% tu ya Dola Bilioni 500!

    Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu Wageni kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakishiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Mkutano wa Kahawa Barani Afrika Februari 21–22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam

    Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano una lengo...
  11. A

    Pre GE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  12. Ojuolegbha

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 4 imeendelea na utekelezaji wa Programu ya Taifa ya

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 4 imeendelea na utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Kurasimisha Makazi yasiyo rasmi ambapo jumla ya makazi 2,666,218 yamerasimishwa nchini. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store...
  13. Bromensa

    Pre GE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  14. Mchochezi

    Pre GE2025 Nini kitatokea baada ya Rais Samia kustaafu Urais?

    Habari wadau wa JF siasa. Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Samia kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kimaendeleo nk? Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi jamii ya Kitanzania kipindi hicho kitakuwaje?
  15. Meneja Wa Makampuni

    Barua ya Wazi kwa Rais Samia: Umuhimu wa kuanzisha na kuendeleza viwanda vya ARV nchini

    OFISI YA RAIS, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DR. SAMIA SULUHU HASSAN, YAH: UMUHIMU WA KUANZISHA NA KUENDELEZA VIWANDA VYA KUZALISHA DAWA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARVs) NCHINI Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na taadhima za...
  16. PendoLyimo

    Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando:Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombe

    Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.Akizungumza kuhusu mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa mchakato huo, Wakili Mahando...
  17. milele amina

    Wanachama wa CCM wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila kupingwa tukutane hapa

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila upinzani, tunakaribishwa kukutana hapa ili kujiorodhesha majina yetu. Tunatarajia kuwa na wanachama wapatao 12,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Sababu za Kukutana 1...
  18. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Rais Samia akiitumia Busara na Hekima ya Kimbingu akaachana na ubinadamu, atakubaliana namm kua "Umakamo/Urais wake ulichaguliwa Kwa mpito tu!!

    Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?. Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k. Rais Samia, anachaguliwa kua Mgombea mwenza wa JPM si Kwa sababu hakukuapona MTU Bora zaidi la hasha, wapo wanaume na Wanawake...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award

    https://www.youtube.com/live/gwDU3yG1pk4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Amepokea Tuzo ya Gates Goalkeeper Awards Hyatt Regency Hotel Dar es salaam, leo tarehe 04 Februari, 2025. Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo ametoa hutoba ambapo Rais Samia ameeleza...
  20. Father of All

    Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
Back
Top Bottom