Ni Nuru, Faraja na Tumaini la ndoto za Watanzania wengi.
Ni kichocheo cha mshikamano na maelewano ya waTanzania bila kujali mirengo ya kisiasa, kanda atokayo, rangi, dini au kabila.
Ni kielelezo cha thamani cha Taifa, nembo, alama na nguzo ya amani na umoja wa kitaifa katika sura ya kimataifa...