samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. SHANTI

    Rais Samia Suluhu umemtuma Makonda kuwavuruga watendaji wa serikali au kueneza siasa?

    Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila ninayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Tujiulize maswali...
  2. benzemah

    Ujumbe wa Sophia Mjema kwa Rais Samia Suluhu

    Aliyekuwa Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Msaidizi wa Rais Makundi Maalum na Wanawake huku nafasi yake ikichukuliwa na Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao. "Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri...
  3. Father of All

    Tasnifu ya Shahada ya Umahiri ya Rais Samia inaonesha kufanyiwa na zaidi ya mtu mmoja

    usomi ni kitu kinachopendwa sana hasa na wale wasio na ubavu wa kusoma. Viongozi wetu wa kada zote wanapenda kujibebesha au kubebesha kwa kuzawadiwa vyeo hivyo baada ya kuhonga ili waheshimike bila stahiki. Leo nawaleteeni masters ya mkuu wa kaya muamue wenyewe kama ni somi au kihiyo. Pamoja na...
  4. Roving Journalist

    Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  5. LINGWAMBA

    Rais Samia rekebisha mapungufu Utumishi kama yapo lakini sio kuruhusu taasisi ziajiri zenyewe

    Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani, wewe ndio Rais wetu, tukiwa na shida lazima tukulilie wewe. Kuna mengi umeifanyia hii nchi mazuri na unasifa kubwa ya kuwa msikivu mfano suala la DP World. Umesema umechukuwa mapendekezo ya watu ukarekebisha baadhi ya vitu vilivyolalamikiwa, na mimi...
  6. Doctor Mama Amon

    Kama Mama wa Taifa ni Rais Samia vipi kuhusu Maria Waningu Gabriel Magige Nyerere?

    https://youtu.be/jwNlcsJu8Nw Maria Waningu Gabriel Magige aliyezaliwa 31 December 1930: Kutimiza miaka 94 ifikapo 31 Desemba 2023
  7. Elius W Ndabila

    Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Mattembe: Karibuni Wana-Singida Katika Mapokezi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoa wa Singida

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe anapenda kuwakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida na Wilaya zake katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Singida itakayoanza tarehe 15-17 Oktoba, 2023...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia akiwa ziara ya kitaifa nchini India, leo Oktoba 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 9 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/4CCyGB0ET68?si=SxgeV7L3rZnjBpLi === Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zimekubaliana kukuza uhusiano wao wa kihistoria baina...
  10. Kabende Msakila

    Kila unaposimama Rais Samia Suluhu na CCM wanaonekana - hatumwachi

    Salaam ni jadi yetu watanzania! Mada ni kuwa hata MTU ajitoe vipi ufahamu lkn kila unaposimama au kuangaza macho kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia CCM inaonekana bayana. Iko hivi Miundombinu ya Reli, Barabara, Viwanja vya ndege vinaonekana - CDM hamvioni? Ajira kwa vijana zimeongezeka sana...
  11. MAHANJU

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mbadilishe Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu hatoshi

    Rais kwanza nikupe pole na heshima yako na nikupongeze sana Mama kwa uwajibikaji wako katika kulisaidia Taifa hili kwa kuliponya kutoka katika mazingira magumu miaka 8 iliyopita. Hakika tunaweza kusema ya kwamba mabadiliko ni makubwa sana katika sekta zote ispokua baadhi ya Watendaji wako ndio...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

    Habari Wakuu! Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako. Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry, Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya. Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za...
  13. kyagata

    Kauli za Rais Samia Suluhu na watangulizi wake ni kama hazina tofauti.

    Huyu mama alianza kazi akiwa na lugha flani hivi tamu mpaka wakati mwingine akawa anamponda aliyekua boss wake (Magufuli ila sasa hivi kaacha) kwa vijembe.baadhi ya watu wakiongozwa na chadema wakampenda na kumpa sifa zote. Sasa leo anatoa kauli ya kejeli kama hii,anatofauti gani na yule...
  14. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu Hassan alivyotembelea kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Kata ya Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  15. H

    Rais Samia Suluhu Hassan avunja ukimya kuhusu yanayo endelea mtandaoni

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba muhimu leo katika mkutano wa Kamati ya Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hotuba...
  16. B

    Ombi: Rais Samia harakisha mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru

    Kila nikitazama jinsi Mchakato wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi inavyosua sua huku muda bado upo nashangaa sana.. Dkt. Samia Suluhu Hassani ni mpenda haki na juu ya yote ni Mwislam anayetii Mafundisho ya Mtume Muhamad Mtume wa Mwenyezi Mungu. Je, kusua sua kwa jambo hili ndio kusema...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki kilele cha siku ya Kizimkazi, Paje, Zanzibar, leo Agosti 31, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha siku ya Kizimkazi - Paje tarehe 31 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/live/Yd55lfWEjZc?si=G-i-dKxF7Y7VfBti Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mhandisi Fatma Rembo - "2025 Tuna Jambo Letu Ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan na Hatuna Mwingine"

    Mjumbe wa Baraza la Jumuiya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa, Mhandisi Fatma Rembo akizungumza na Wanawake wa Mafinga Mji, Iringa amewaomba waendelee kushikamana kwani tunaelekea kwenye Uchuguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Rais Samia Suluhu ana emotional intelligence, utulivu wa hali ya juu

    RAIS SAMIA SULUHU ANA EMOTIONAL INTELLIGENCE, UTULIVU WA HALI YA JUU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua hivi vyeo bhana ukileta mchezo unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo hata wewe ukija kutulia unajishangaa. Vyeo vinaleta Kiburi, Jeuri na majivuno. mamlaka na utajiri bhana haviwafai...
  20. Lord denning

    Sina mashaka na Rais Samia Suluhu Hassan

    Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba. Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli. Kusema kweli Rais Samia hasumbuliwi na siasa za maneno, sijui siasa za vitisho, sijui siasa za kuponda. Kipindi kile...
Back
Top Bottom