samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia na jicho la mwewe miezi mitatu nyuma alisema huko ndani kwao Chadema kunawaka moto haya sasa tunayashudia!

    Miezi mitatu na ushee pale Raisi Samia alipokuwa akitoa hotuba ,kati ya maneno aliyosema ni kuhusu wanasiasa haswa lissu kuropoka sana kuhusu CCM na Serikali . Alisema huko ndani Chadema kunawaka moto wengi walichukulia labda ni kauli za vijembe vya kawaida katika siasa kumbe Raisi Samia ana...
  2. J

    Nakuomba Rais Samia kama unamjali Magufuli utoke hadharani na kukemea hiki kitabu cha Kabendera

    Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi...
  3. Mnaomtetea na kumsifia Rais Samia: Changamoto za wizi wa fedha za Miradi ya maendeleo Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa halmashauri na mikoa. Ingawa kuna watu wanaompongeza kwa juhudi zake, wengine wanadai kuwa hakuna...
  4. Pre GE2025 Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais 2025-2030, Rais Samia aandae mchakato wa maridhiano awamu ya pili ambao utakuwa na mambo makubwa zaidi

    Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa. Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote. Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
  5. Nitashangaa sana Samia Suluhu Hassan akishinda tena urais 2025

    Hakuna wakati ambapo uchaguzi wa Tanzania ungekuwa mwepesi sana kwa wapinzani kama uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Ni wachache mno wanaoridhishwa na serikali hii ya awamu ya sita, kati ya hao ni wateuliwa, baadhi ya wanachama wa CCM wenye maslahi (asilimia kubwa ndani ya chama hawamkubali...
  6. B

    Mwenyekiti Rais Samia Hassan -"SADC inatoa wito kwa pande zote Mozambique kujizuia na kujiepusha na vitendo vinavyozidisha ghasia na machafuko"

    Baada ya uchaguzi Mozambique: SADC inatoa wito wa kujizuia na mazungumzo ya "amani". 02 Januari 2025 Picha ya faili: AIM Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) jana ilihimiza kujizuia katika kukabiliana na maandamano ya baada ya uchaguzi nchini Msumbiji, ikitetea mazungumzo "ya amani...
  7. Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

    Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji...
  8. F

    Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

    Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi, Mkapa au Kikwete? https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/sgr-expansion-fourth-emu-train-passes-final-tests-4875584
  9. L

    Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea. Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya...
  10. D

    Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  11. Magufuli alitumia kirungu na buti kuua upinzani akashindwa , Samia anatumia akili kuua upinzani. Samia atafanikiwa

    Magufuli alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuweza kuua upinzani lakini akatumia nguvu ndio maana yake akashindwa. Samia kaingia kwenye mfumo katika kipindi ambacho upinzani/wapinzani wameshakuwa sugu . Kipindi ambacho wapinzani waliishiwa hofu Katumia akili kidogo tu anakaribia kuummaliza...
  12. Je ni hali ngumu? Rais Samia Kusafiri na Kisimbuzi cha Azam kila aendapo?

    Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam. Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake wanabeba wanaenda nacho Kizimkazi, badae wanaunganisha nacho Dodoma, badae wanaenda nacho Mwanza n.k...
  13. Picha: Waziri Mkuu Kassim na wananchi wa Ruangwa walivyofatilia Hotuba ya Rais Samia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
  14. Pre GE2025 Ngome ya upinzani Uyui yaanguka, Viongozi wa CUF wahamia CCM, wakisifia uongozi wa Rais Samia

    Wanachama Wawili wa Chama cha Wananchi CUF wa Kijiji cha Mabama Wilayani Uyui mkoa wa Tabora Husseni Hammis Kwabi Aliyekuwa Mjumbe mkutano mkuu CUF Wilaya Uyui na Mashaka Said Lintu Aliyekuwa Mjumbe kamati tendaji, Mkurugenzi wa Fedha na Meneja Kampeni wa Chama cha CUF Wilayani Uyui wametimkia...
  15. Wito: Rais Samia Toa Maelekezo ya Kumfukuza Anayetajwa Mwalimu na Mhamasishaji wa Ugaidi, Ili Kuokoa Tanzania ya Kesho

    Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao. Tanzania hii ya leo, pamoja na matatizo mengi tuliyo nayo, umoja wetu usiozingatia dini, kabila au eneo mtu atokalo ni...
  16. Z

    Kifo cha Jaji Kwariko cha muumiza Rais Samia.

    Hakika Jaji Asha Kwariko alikuwa ni Jaji wa kipekee mfano mzuri wa kuingwa na Majaji wengine walio hai, vyeo ni dhamana tu, ukifa ndio mwisho wako tenda haki. Jaji Kwariko alikuwa ni mtenda haki wa kweli ndani na nje ya Mahakama asiye penda kuonea watu. Mpole na mwenye kujali utu wa binaadamu...
  17. K

    Nyota Mpya ya Tanzania: Rais Samia Hassan aongoza Mageuzi ya Kiuchumi

    Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua madaraka mnamo Machi 2021, Rais Samia amejitokeza kama mtu wa mageuzi, akiiongoza nchi kuelekea utulivu...
  18. Samia Mtaani Kwetu Kuwajengea Uwezo Madereva Bajaji Ili Wazitumie Fursa Zinazowahusu

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
  19. Mandonga na Dullah Mbabe Wamshukuru Rais Samia kwa Kuendelea Kusapoti Michezo Nchini

    Miaka minne kasoro ya Uongozi wa serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wetu mpendwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa na mafanikio makubwa sana katika sekta ya michezo, sekta ambayo imebeba matumaini makubwa ya vijana waliojiajiri kupitia vipaji mbalimbali walivyonavyo. Si tu katika michezo...
  20. Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Miji ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ni kanda muhimu sana kiuchumi na kwa pamoja inachangia kiasi kikubwa cha pato la taifa kutokana na kilimo, biashara hasa ya madini, na utalii. Ukizingatia Mlima Kilimanjaro, Oldonyo Lengai, Mlima Meru, Mbuga ya Wanyama Pori ya Saadani, Mbuga ya Wanyama Pori...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…