samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania Waliamini Chini ya Rais Samia Tanzania inatang'aa lakini wamevunjika moyo

    Ni kawaida na Maadili ya Binadamu wote duniani kuamini Penye Mama hapakosi neno. Hata ktk ngazi ya Familia ukirudi nyumbani ukamkuta Baba na aliyerudi nyumbani akamkuta Mama basi Rewards zinakuwa tofauti Hii ni kutokana kwamba Mama anaupendo kwa wanawe ule wa Asili, Agape Love. Hata Mwana...
  3. JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli: Hakuna kiongozi mteule anayemuogopa Rais Samia

    •Wangekuwa wanamwogopa huu mgao wa umeme wangeudhibiti mapema. •Wangekuwa wanamwogopa wale mafisadi aliowawaambia wampishe baada ya madudu ya ripoti ya CAG wangempisha haraka lakini hakuna hata mmoja aliyempisha. Kwa tafsiri ya Maandiko matakatifu kuogopa maana yake ni kuheshimu. Hivyo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 64 ya Rais Samia, safari ya kusisimua kutoka Karani wa Masijala hadi Mkuu wa Nchi

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Januari 27, 2024 Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alitimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake akihudumu nyadhifa ya juu kabisa nchini toka achukue mikoba hiyo Machi 19, 2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Kiongozi mzuri kama Rais Samia na kutumia jina lake kama brand ni mtaji wa kisiasa

    Hili ndilo linalohalalisha uwepo wa madarakani - kwani kila kitu kinasemwa kimefanywa na Rais Dr. Samia. Ikitokea mkawa na Rais asiyejali watu, anayetisha tisha watu, watu wanapotea, analinda maslahi yake na watu wake tu, haleti maendeleo kwa watu wake, hajali bei za bidhaa zinaongezeka, yaani...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia ametoa fedha shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu

    NA: WAF, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, amesema katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha zenye thamani ya shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kutibu watoto 20 wenye ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) mpaka kufikia Juni 2024. Waziri...
  7. JamiiForums Tanzania Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

    Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA . Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita ...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuijengea Nyumba familia ya mtoto anaeuza ndizi

    Ikiwa ni siku moja tangu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kupokea changamoto ya kijana Alhaji Yahya Abdallah ambaye anafanya biashara ya kuuza ndizi kumsaidia Mama yake na wadogo zake 4 na Mwenezi Makonda kwa niaba ya CCM...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Toka awamu ya kwanza Mwl Nyerere, hadi Dkt Samia, Wilaya na Mkoa gani haujatoa Naibu au Waziri?

    Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia; mwisho wa siku wewe ni Mtanzania Mzanzibari mkazi wa kizimkazi

    Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake wengine waliowahi kuongoza Nchi mf Madamu Banda wakaharibu isingelikuwa rahisi kukuamini, ingebidi...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia ni uvumilivu na kiwango cha ubinadamu. Tuipende Nchi yetu

    Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine. Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

    Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025. Hana sifa. Hana uwezo. Ni mbaguzi. Hatufai. Akigombea 2025. Hakuna wa kumkataza 2030. Tumkatae na mambo yake yote.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mussa Zungu: Rasmi sasa tumeanza Ajenda ya Samia 2025

    Rasmi tunaanza Ajenda ya Samia 2025 leo katika Jimbo letu la Ilala. Hatutazimwa na mtu wala hatutawashwa na mtu, tumeamua kumbeba na kumtetea kiongozi anayesimamia umoja katika taifa letu. Musa Azan Zungu Mbunge, Ilala (CCM) ============ For English Audience Only============= "We officially...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chelsea FC kutembelea Tanzania kwaajili ya kukuza michezo na utalii

    Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa miguu hapa Zanzibar na Tanznania Bara. Pia wageni hao watapata fursa ya kukutana na viongozi wa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Rais Samia apewa zawadi ya ng'ombe na madereva bodaboda

    Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya. 📹 SwahiliTimes
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa, Eneo la Bismarck Rock Mwanza, leo Januari 30, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa - Eneo la Bismarck Rock mkoani Mwanza, leo tarehe 30 Januari, 2024 katika ziara ya kikazi ya siku moja. https://www.youtube.com/live/PbiNMKoRTzU?si=01tr_e35tIxB3CZs...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 kuna uwezekano Paul Makonda akachukua fomu ya Urais. Ndipo Rais Samia ataijua vizuri rangi ya Paul Makonda

    Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii. Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali. Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA 📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Kongamano la UVCCM Kuelekea Miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia na Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM

    KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani na Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi lililofanyika...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia na Ahsante pia Bollen Ngetti

    Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi. Taarifa hizi zilisambazwa na kada wao Bollen Ngetti Mwandishi nguli za Uchunguzi hapa nchini. Hata humu taarifa hizo zilifika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…