samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya sheria na mfumo chini ya uongozi wa Rais Samia yanavyoutesa upinzani

    Amani iwe nanyi, Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo: i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi? ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini...
  2. JamiiForums Tanzania Mama Samia Leo nimekuelewa sana

    Binafsi naweza kusema hii ni moja ya hotuba nzuri sana kutoka kwa Madam President.👏👏👏 1. Suala la Viongozi kujiamini na kufanya maamuzi ambayo wataweza kuyatetea, maana yake wakizingatia hili watafanya informed decision, zenye kuzingatia maslahi ya wengi, kuengage kabla ya kuamua na kutumia...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuache migongano, kusengenyana, uvivu na uzembe ili tufanye kazi za watu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) Jijini Arusha, leo tarehe 04 Machi, 2023 RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA Yapo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Samia: Ujenzi wa mto Ng'ombe unaomaliza adha ya mafuriko Dar es Salaam

    Kuelekea maadhimisho ya Miaka Miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi katika kata za Ubungo, Tandale, Manzese, Kijitonyama, Sinza Ndugumbi, Mwananyamala na Makumbusho katika Halmashauri za Manispaa ya Ubungo na Kinondoni zinazopitiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  6. JamiiForums Tanzania Chadema ni Team Samia kwa ushindi wa 2025

    👉Mtu bingwa kabisa Samia Suluh Hassani,amewafanya Chadema na viongozi wao kugeuka team ya kampeni nzuri sana kuelekea 2025.. 👉Mtu anayeifaham siasa ameyafanya manyumbu yote kuwa Kitu kimoja sasahv mama huna upinzani kwa chadema sijui vyama vyama gani huna.. 👉Umemsafisha Magufuli maana yalisema...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi wa Serikali mjitathmini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi. Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC)...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia afichua siri ya kuwatumbua viongozi Serikalini

    Akizungumza jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri na Makatibu Wakuu uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha Rais wa Jamhuri ameeleza sababu za kufanya mabadiliko ya mara kwa mara ya viongozi licha ya yeye kutokupenda kufanya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

    Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo...
  10. JamiiForums Tanzania Samia awapiga ‘stop’ mawaziri kuajiri maofisa habari binafsi

    Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka wizara kujibu kauli za upotoshaji zinazotolewa na wanasiasa kuhusu utendaji wa Serikali. Katika kulitekeleza hilo, amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi, badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali. Rais Samia...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Ritta Kabati aeleza namna Rais Samia anavyowajali wanafunzi wa Vyuo Vikuu

    MBUNGE MHE. DR. RITTA KABATI AWAPA SOMO WANAFUNZI CHUO KIKUU, AELEZA NAMNA RAIS SAMIA ANAVYOWAJALI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, (CCM) Mhe. Dkt. Ritta E. Kabati @dr.rittakabati amewataka wanafunzi wa Vyuo Vikuu kujikita katika masomo yao wawapo vyuoni na kuacha mambo ambayo yatapelekea...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu na Lema wamerudi Salama. Chadema wameanza kufanya Mikutano. Rais Samia ashukuriwe sana

    Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani upepo wa kisiasa nchini umebadilika sana . Tumeona Mikutano ya kisiasa ikirejea nchini, siasa za vyama vya upinzani majukwaani zimerudi tena na mazungumzo ya kuimarisha Demokrasia yanazidi kushika kasi. Kubwa zaidi tangu Rais Samia ashike madaraka...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa onyo la mwisho kwa mawaziri

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo la mwisho kwa wateule wake wasioelewana kwenye utekelezaji wa majukumu yao akisema ameachana na mtindo wa kuwapangua badala yake atawaengua. “Sipendi sana, nataka niwaambie, hii itakuwa mara ya mwisho kutumia sababu hii kupangua wizara...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wanaolia teuzi za Rais Samia wameshaisahau Awamu ya Tano na tuhuma za 'Kanda Maalum'

    Binadamu husahau mapema sana. Nimekisikiliza kilio cha Msomi Kitwanga na nikagundua ni kinyongo halisi kinachokuwa katika maongezi ya kundi zima lililokuwa nyuma ya hayati JPM miaka ile akiwa ikulu. Na maisha yanakwenda kasi sana. Wahenga tunaoazima mara nyingi busara zao wanayo misemo...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, RC wa DSM na Manispaa zote za DSM kwa Kuwarejesha Wamachinga Wakaidi maeneo Wasiyotakiwa Kisheria

    Wamerejea rasmi Tegeta kwa Ndevu, Mbezi Louis, Ubungo Riverside, Mwenge na maeneo mengine mengi ambayo Walifukuzwa Wiki Mbili zilizopita kwakuwa Kisheria hawatakiwi kuwepo. Ushauri wangu kwa Watajwa katika Kichwa changu cha Uzi huu ni kwamba Safari msihangaike Kuwatimua tena bali waacheni ili...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana umeamua rasmi sasa kuwa 'Chawa Gegedu' wa Rais Samia?

    Haiwezekani leo katika Hafla fupi ya Kumkaribisha Naibu Waziri wako Mwana FA Wizarani umetumia dakika 17 zote Kumsifia (tena Kinafiki) Rais Samia huku ukitumia tu dakika 2 Kuelezea Malengo ya Wizara yako ambayo wenye Akili tunajua kuwa huiwezi na hutoiweza sema tu Mama ( Rais ) anaona Aibu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bado mnajadili Rais Samia kupewa uchifu?

    Mwaka 2021 Mhe. Rais Samia Suluhu alisimikwa kuwa Chifu mkuu na Umoja wa Watemi wa Kisukuma kwa kushirikiana na Umoja wa Machifu Tanzania, katika tamasha la Utamaduni wa Mtanzania na kumpa jina la Hangaya, lenye maana ya Nyota inayong’aa asubuhi. Baada ya tukio hilo upinzani wakiongozwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia Suluhu madarakani

    Tangu aapishwe Machi 19, 2021 Rais Samia Suluhu amekuwa akifanya jitihada za kuanzisha na kuendeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa lengo la kukuza uchumi. Baadhi ya miradi hiyo ni ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP), Reli ya kisasa (SGR), barabara kubwa na ndogo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Joseph Mbilinyi (Sugu) na Rais Samia unampa shida Dkt. Tulia

    Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa. Uhusiano wa Dkt. Tulia na Rais ni wa kisiasa tu na ni vigumu kuona hata Mama akicheka akiwa na Tulia. Hii inamuogopesha...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabadiliko yametokea kwa sababu ya kutokuelewana

    Rais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki. Rais amesema hii ni mara ya mwisho kupangua kwa sababu ya kutokuelewana, wakati mwingine atawaondoa wote badala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…