samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilidhani ningefika nao upande wa pili lakini ajali zinatokea

    Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni. Rais amesema alitamani team yake ya awali amalize nayo hadi kufika ngwe ya pili (Muhula wa pili wa...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Viongozi walioapa akiwemo Mkurugenzi wa Uchaguzi wasome na kuelewa Ilani ya CCM ili kumuunga mkono Rais

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 27 Februari, 2023 Dr. Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amewaasa viongozi wote walioapa leo akiwemo Mkurugenzi wa Tume...
  3. JamiiForums Tanzania Ni shamra shamra za harusi ya binti wa Samia weekend hii

    NI bashasha kwa waalikwa.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kila akisifia mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli; Nderemo, shangwe na makofi hutawala. Hii ina maana gani?

    Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo; Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF. Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaishi mbele ya wakati

    Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa ukimsikiliza vizuri Rais Samia maneno yake, mikakati yake,matendo Yake, kauli zake, mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanyia unaona Ni kiongozi na Ni Rais anayeishi mbele ya wakati tuliopo,Jambo ambalo ni la bahati Sana kwetu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Sugu: Rais Samia ni mama msikivu nampigia simu hata usiku

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewaambia Wananchi wa Mbeya kuwa ana uwezo wa kumpigia simu Mh Rais Samia Suluhu Hassan hata usiku kumueleza changamoto za Wananchi wa Mbeya, kama aliweza kumpigia simu na aliweza kufika kwenye shoo yake usiku. Sasa atashindwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe anavyozidi kumshukuru Rais Samia tunajifunza nini?

    Sote tunakumbuka katika mkutano wa kwanza wa tangu kuruhusiwa tena kwa mikutano ya kisiasa nchini, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, alitumia muda mrefu sana kumshukuru na kumuongelea Rais Samia Suluhu Hassam, maswali yalikuwa mengi miongoni mwa wana-CHADEMA na Watanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unda Kikosi Maalum cha Ujasusi ili kukupa Ukweli wa hiki ninachokisikia na kinachosikika

    Kuwa Siku hizi ili upate Uteuzi Serikalini au katika Taasisi au Mashirika za / ya Serikali mpaka Ubalozini na kupata Ziara za kwenda nje unatakiwa Kuandaa kati ya Shilingi Milioni Mbili hadi Milioni Saba na wakati mwingine hata Milioni 10 na Milioni za Kitanzania. Na Mheshimiwa Rais Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
  11. JamiiForums Tanzania TPDC mnakwamisha Mradi wa Gesi Asilia (CNG) kwa kumkomoa Rais Samia

    Serikali Kupitia Rais imepambana sana kuhakikisha miradi mikubwa inafunguka kwa ajili ya kunufaisha Watanzania wote. kwanini Mataragio na Genge lako hapo TPDC mnakwamisha mradi wa Gesi asilia? Mnazuia vibali vya makampuni kufungua vituo vya kujaza Gesi kwenye magari kwa maelekezo ya nani? Hata...
  12. JamiiForums Tanzania Diplomasia ya uchumi chini ya Rais Samia inazidi kulipa. Rostam ruksa Kenya

    Baada ya kukwama mara ya kwanza hatimaye Mfanyabisahara maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz anatarajia kuanza rasmi utekelezaji wa mradi wake wa gesi nchini Kenya huku akisifia mazingira bora ya uwekezaji katika nchi hiyo. Rostam kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameruhusiwa kutekeleza mradi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inatuibia Watanzania chini ya uongozi wa Rais Samia. Hili daraja ni Bil 7?

    Jamani acheni kula Tozo zetu
  14. JamiiForums Tanzania "Tunataka maendeleo ya watu badala ya vitu," kauli ya CHADEMA ambayo imeshafanyiwa kazi na Rias Samia

    Mwaka 2020 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu kulikuwa na kauli maarufu sana ya CHADEMA kwamba wanataka maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu. Hoja yao ilimaanisha kwamba serikali ya awamu ya tano ilijikita kwenye miradi ambayo ilikuwa haimgusi mwananchi moja kwa moja. Miradi kama ujenzi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Rais Samia atangaze rasmi tarehe 17 Machi iwe Sikukuu ya kitaifa kumuenzi Hayati Magufuli

    Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli. 17 march: Magufuli Day Kwenu wakereketwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Utajiri unapatikana Shambani?

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika. Kupitia mpango huu wa BBT, kila kijana anapata fursa ya kuijenga kesho yake iliyo bora. Wakati suala la ajira likiwa changamoto...
  17. JamiiForums Tanzania Nani aliyemshauri Rais Samia jambo hili ambalo limeleta mateso na aibu kubwa mitaani na mitandaoni?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili. Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa kuna mtu hamwelewi Rais kweli?

    Mimi naona huyu Mama kaletwa na Mungu kuwa Rais for a purpose. Hebu angalia yafuatayo; 1. Ameondoa retention fee ya loans board kwa wanafunzi ambao tulikuwa tunasuffer kwelikweli. Kila mwaka mkopo ulikuwa unakua whether unafanya kazi au hifanyi. JPM hakufilia kabisa hilo japo inasemekana...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tozo lakini Samia anastahili sifa kutupa nafasi tulale usingizi mtamu

    Hofu Imetoweka Wakati huu hata nikisikia kelele nje ya nyumba/geti najua kabisa hawa ni vibaka au wanga wapo kwenye mbishe zao, na ninao uwezo wa kufungua mlango na kutoka nje kuangaza macho kulikoni. Enzi za Bwana yule, kwa sababu ya watu ninaohusiana nao kijamii na kikazi nilikuwa na hofu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia alisema opras ni njia isiyofaa kupona performance ya mtumishi. Hiki kinachoendela ni kukusanya fedha za watumishikwa kuwapigisha photocopy

    Maafisa utumishi hii sio sahihi ...sina mshahara natafuta chakula Leo nikatoe kopi kibao.? Open performance haiwezi Kwa kumtesa mtumishi kumuongiza gharama za ajabu ajabu. Piga nakala 4 x opras 1 =700*4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…