Leo asubuhi nilipeleka maombi ya kazi katika moja ya shule hapa mjini. Lakini uzoefu niliokutana nao leo ulikuwa mbaya sana.
Picha inaanza nilipofika getini, nikamsalimia mlinzi, mwanaume mwenye umri unaokadiriwa kuwa zaidi ya miaka 44. Nikamwambia naomba anielekeze ofisi ya mkuu wa shule...