Tupo kwenye mfumo wa maisha ambao ili upate kitu nilazima usifu, jambo linalopoteza dira na muelekeo ya maisha yetu
Tupo kwasasa kwenye dunia inayofahamika kwa uchawa, vijana mpaka wazee wanaonekana kama chawa kutokana na kusifu kila jambo hata kama halina manufaa kwa lengo la kupata chochote...