sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maisha ni mafupi sana. Fanya yote yakufurahishayo ikiwa tu huvunji sheria za Mungu wala za nchi

    Wakuu kwema! Sisi Watibeli tunajua kabisa miaka 100 ni michache mno. Alafu fikiria karibu asilimia 95% hatutafikia umri huo. Na hao watakaofika watakiona cha moto. Maisha ni mafupi ndio maana Watibeli siku zote tunafurahi. Kwetu Furaha ni kuishi kwa amani na Watu wote. Hatuweki vinyongo wala...
  2. JamiiForums Tanzania CCM class of 2015 (Wagombea Urais) tumepoteza top 3 yote

    Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe. Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
  3. JamiiForums Tanzania AFCON 2023 imefana sana kwa sababu ya maamuzi ya haki ya waamuzi waliochezesha mechi zake

    Watu wengi wamesifia AFCON ya 2023 kwa ushindani ulioonyeshwa na timu nyingi na matokeo yasiyotabirika yaliyofanya mashindano kuwa ya ushindani zaidi. Pamoja na sababu nyingine kadhaa ikiwemo ongezeko la wachezaji wenye viwango vikubwa kwa timu nyingi, kama kuna jambo moja ambalo limekuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga kwanini mnapenda sana kucheza mechi zenu za kimataifa usiku?

    Nimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani wako? Mamelod ni timu kubwa zaidi ya Yanga lakini huwezi kuona wanawachezesha waarabu usiku, bali...
  5. JamiiForums Tanzania Dodoma niko mpweke sana, nahitaji company (sio mpenzi) kwa ajili ya kufurahiana

    Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔 Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu yangu tu, nitajipikilisha pale au nitaoka kuku/beef na k vant kubwa pembeni pamoja na tonicwater...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukipata chance ya kula pesa za mwanamke zile sana sharti huyo mwanamke asiwe mama yako au ndugu yako

    Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa. Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa. Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza mifuko ya Cement kwa bei nafuu sana - 15,000

    Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ya gari la miaka ya karibuni iko juu sana

    Yaani ukiagiza Japan gari la Miaka ya 1990's ushuru wa TRA upo chini. Ila ukijiroga uagize gari la miaka ya 2010's utafurahi na roho yako jinsi ushuru wa TRA ulivyo juu. Unakaa unajiuliza hivi hii nchi kuna mtu ana roho ya korosho hataki watanzania waendeshe magari mazuri? Nani anafanya hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Ukishazoea kushi na mwanamke ni ngumu sana kumudu maisha ya Ubachela

    Natumia nguvu nyingi sana nisimoigie yule mwanamke ila sijui kama ntafanikiwa, Upweke ni jambo gumu sana
  10. JamiiForums Tanzania Waafrika uongozi umetushinda; huo ndo ukweli hatakama hatuupendi

    Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme. Ukija kwenye maji mfano kwa Dar es Salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao wanasema tatizo ni umeme eti ni mdogo hauwezi kupush maji-kipindi cha nyuma walikua wanasema tatizo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Vita inayoendelea baina ya CCM na Serikali imekuwa nzito sana! Tuwaamue au tuwaache watoane ngeu?

    Pambano limekuwa moto sasa CCM ikiwa na point nyingi za ushindi wakati Serikali ikiwa na Hali mbaya sana, tuwaamue au tuwaache watoane ngeu? Kazi inayofanya Makonda ilitakiwa ifanywe na wapinzani lakini sasa wapinzani hata hawajui wafanye nini! Maana adui zetu wameamua kupigana wao kwa wao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ikitokea mfanyakazi mmoja wa ofisi za umma akawa mtenda haki, sio mpenda rushwa anachukiwa sana?

    Nawasalimu Kwa Jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa hivi nilivyo nashukuru. Mimi nimekuwa miongoni mwa watu ambao nimezaliwa nikajikuta nina moyo ambao muda wote unaitaji amani, na sipendi kuonea mtu wala sipendi kuona mtu mwingine akionewa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Yanga inakuwa na wachezaji wanaoamini sana ulozi?

    Ukiachana na ile ya kuchoma moto kule Afrika kusini ambao ulikuwa ni upuuzi lakini sijawahi kuona wachezaji wa Simba wakitoa taulo au kufukua kwenye lango la mpinzani hata waattempt mara 30 bila goli. Kwa Yanga imekuwa kawaida sana kuwa na wachezaji wanaoamini ulozi wazi wazi. Kipindi cha nyuma...
  14. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana taasisi yenye dhamana ya kusimamia Lugha ya Taifa (Kiswahili) kukosa jenereta pale unapokatika umeme

    Jana nilifika katika ofisi za BAKITA (Taasisi ambayo inabeba dhamana ya lugha ya Kiswahili inayotuunganisha sisi kama Watanzania). Nilichokiona kimenisikitisha sana. Nilihitaji kupatiwa huduma ya Tafsiri cha ajabu niliambiwa hakuna umeme ofisi nzima (kutokana na mgawo ambao unaendelea nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimeyatimba

    Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote. Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike nchini Salama Ngale inahairishwa hairishwa tu sana?

    Mkiambiwa jitahidini sana kuwa Wasiri kwa Mambo / Mipango yenu hasa ile ya Ndani kwani Waswahili tuna Kijicho ( Husuda ) hasa kwa Maendeleo / Mafanikio ya Wengine huwa hamtuelewi tu. Haiingii Akilini yaani Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike wa Soka nchini Salama Ngale mpaka sasa imeshahairishwa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

    Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife. Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Kama tukiendelea kuamini kwamba huu mgawo wa umeme ni halali basi tutakuwa ni wajinga sana

    Nisikuchoshe Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki? Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati? Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wakatili upenda sana kuhubiri kulogwa, kuuawa, kudhurika na kumtaja sana Mungu?

    Watu wengi wasiotenda haki ni wepesi sana kuamini katika kulogwa na kudhurika. Upenda sana kuifanya jamii ionekane kama ina kizazi cha watu wakatili na ambao wasingependa wenzao wafanikiwe. Kwa upande wa pili viongozi hawa upenda sana simpathy na perfection huku walio chini yao wakitakiwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Singapore ni kama Wilaya ya Kigamboni tu lakini ina uchumi mkubwa sana

    Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia karibia million Sita Uchumi wake ni gdp karibia 500 billion usd. Kwanini tunazidiwa na nchi ndogo kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…