sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Jitahidi kuyafanya sana haya mambo utakuja nikumbuka baadae

    Jamani hapa DUNIANI tupo miaka michache sana katika starehe,. Yaani ni kutoka 25 mpaka 55 Hivyo kama kuna vya kuvitumia kulingana na uwezo wako vitumie sana,. Kama ni (🍺 bia)kunywa sana ikikupendeza zaidi vuta na BANGI ndani ya hiyo miaka, Kama ni (❌ ngono) fanya sana tena hata ngono zembe...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

    Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine. “Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi. Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao. Mchakato wa kuwapata hao...
  5. JamiiForums Tanzania Uchambuzi Yakinifu: Bila chuki wala kuweka utaifa mbele Khaligraph jones katisha sana

    1 kamwambia ukweli Young killer _ saivi yupo busy na mapenzi kuliko mziki (kuna time nilidhan Bongo hip hop ataiokoa) 2 Wakazi anaongea sana mitandaoni(apewe kaz wasafi media) 3 Nikki Mbishi (apa naisi kikosi kazi wote) __(wanafanya mziki mzuri lakini nidhamu ni kitu cha muimu ili msanii afike...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema upinzani utapata tabu sana kushindana na kuishinda CCM kwa nusu karne ijayo tunamaanisha haya

    Kufuatia mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano wa CCM na ambayo yanaendelea kufanywa na Mwenyekiti wa Sasa wa CCM, sioni kabisa wa kuweza kuishinda CCM iwe ni chama na mgombea binafsi kama utaratibu huo ukiruhusiwa na kuanza kutumika kwa nusu Karne ijayo kuanzia 2025 mpaka...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiwa maskini sana hata mbwa wako anaweza kukung'ata!!

    Umaskini ni tafsida ! Unaweza kuitumia kwa ujumla au kwa mtu Mmoja Mmoja ! Tukiwa kama nchi mbele ya mataifa mengine nchi yetu inaitwa maskini. Hata viongozi wetu wengi wanapotoa hotuba zao mbele ya mataifa yaliyoendelea wanajitambulisha kama nchi maskini ' ukisema hivyo unajumlisha wote...
  8. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  9. JamiiForums Tanzania Hili la Mbeya, wafanyakazi kuiba mapato ya Serikali, linasitua sana

    Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana. Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali! Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa. Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani! Tumeshaanza kula mabua!
  10. JamiiForums Tanzania Vijana tunapitia wakati mgumu sana kwenye utafutaji. Chukua hii, itakufikirisha zaidi

    Nipo hapa kwa kitanda usiku huu wa manane nikiwa na msongamano wa mawazo na kutafakari mambo mbalimbali kuhusu haya maisha hasa kwa sisi vijana ambao tunajitafuta na bado hatujajipata. Haya maisha ya utafutaji yamejaa vitu vigumu na vizito ambavyo siyo rahisi mtu kukuelezea ni namna gani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Poleni Sana DC na DED Mliotimuliwa: Kesho Watoto wenu wataenda Shule kama watoto wa Mwananchi wa Kawaida

    Nimewaza mengi na kuwaonea huruma. Lkn Cheo ni Dhamana, iwe ulihongwa au ulikipata kwa sifa za kiutendaji, ni DHAMANA Inawezekana yako mengi katika yaliyofanya hawa watu watimuliwe, lkn Mh. Rais katika maongezi yake liko jambo kubwa kalisema ambalo ndio hasa limeshababisha WANA CCM KURUDISHA...
  12. JamiiForums Tanzania Ningekua mimi Samia ningemshukuru sana hayati Magufuli.

    Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT. Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa viumbe ni ngumu sana kwao kusema hivi

    Video inajieleza
  14. JamiiForums Tanzania Mashairi: Khaligraph hajatukana Wasanii wa Bongo Bali anawakumbusha tu kuwa wamepooza sana kwenye Game ya Rap wamekimbilia Kwenye Amapiano

    KHALIGRAPH - Bongo Favour Lyrics 𝐓𝐀𝐅𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐖𝐀𝐇𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐈𝐏𝐎 Tusahishane kama kuna makosa+nyongeza Yeah nafanya TZ mbogi ipaniki ᴍʙᴏɢɪ = ᴋᴜɴᴅɪ, ᴍꜰᴀɴᴏ ᴡᴀɴᴀᴏᴢᴜɴɢᴜᴍᴢɪᴡᴀ ʜᴜᴍᴜ Wakiona OG amejam, zogo! ᴡᴀᴍᴇᴀᴏɴᴀ ɴᴀᴡᴀᴘᴀ ᴍᴀᴋᴀᴠᴜ, ᴡᴀᴍᴇᴀɴᴢᴀ ᴋᴇʟᴇʟᴇ Big rappers na mbona mnaplans ndogo? Na sitafuti kiki...
  15. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

    Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara. Huwa naumia sana nikiona kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni. Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina...
  16. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais tunakuomba utupie jicho TARURA

    Tunaishukuru Serikali yetu inatoa fedha nyingi sana kwa TARURA ili iendeleze barabara zetu hasa za Vijijini. Kwa mtindo wa sasa labda siyo wote unapotakiwa kupata kazi lazima utoe rushwa to the tune mpaka 4 millioni. Ukiisha kupewa kazi kuna mgao wa Ofisi ya RM Mkoa na Ofisi ya TARURA wilaya...
  17. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia uwapo Ugenini?

    Haya yatakusaidia maana kuna watu yamewahi kuwakuta wakajikuta wanatamani Dunia iwameze. 1. Ukiwa ugenini kama ni hivi vyoo vya kisasa kabla hujaanza jisaidia angalia kama kuna maji kwanza. Usifike tu na kuanza shusha mzigo. Utakuja jilaumu baada ya kumaliza. Njemba alienda ukweni akagonga...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

    Form 6 leaver ,tuliwaambia ,mmefaulu Sana fanyeni maamuzi sahihi Selection za mwaka huu, nadhani zimewapa SoMo kubwa Sana,kuwa na sifa sio kigezo Cha kuwa selected! "Mlifaulu Sana" hata kwenda chuo hakuna DVC wa chuo ataacha Div one 3 achukue one pts 7, Mliopata hongereni, ambao bado msikate...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Simbachawene na Kikwete kwa kazi nzuri mnayoifanya Utumishi hadi sasa

    Nawasalimu kwa Jina la JMT! Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi. Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua. Hongereni sana...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Wimbo Overdose ya Diamond kali sana nimeikubali

    Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…