Wabunge wetu mnawawakilisha wananchi wapi? Mbona mmeshindwa kuwawakilisha dukuduku lao la bandari? Je, mlichaguliwa kwenda kumsifu chifu tu? Hivi walioeleza dosari za mkataba ule wote walikuwa na nia ovu kweli?
Kwanini katika bunge la kujadili mkataba/makubaliano hayo hamkujadili issues badala...