sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mangungu karudi safi sana, mingine minne ya maumivu kwa mtani

    Ni mwenyekiti tuliyemtaka aendelee kuhudumu pale ukoloni na tumefanikiwa pakubwa, Wanayanga endeleeni kutembea kifua mbele kikubwa ni kutengeneza kabati jingine la makombe, mission imekamilika usiniulize imekamilikaje👏👏👏👏.
  2. JamiiForums Tanzania Inashangaza sana kuona mwanaume eti anaogopa kuoa

    Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli? Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa? Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa. Poleni sana dada zangu mna changamoto kubwa sana kwa aina ya wanaume wa sasa.
  3. JamiiForums Tanzania Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Walimu wa Taifa Secondary watanyanyaswa sana na wakubwa wao wa kazi

    Kwa matokeo waliyoyapata katika mtihani wa taifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa leo, natabiri walimu wa shule hiyo watanyanyaswa mno na wakubwa wao wa kazi. Yaani watafokewa kuanzia na wazazi,diwani wa kata yao, mbunge, afisa elimu kata, afisa elimu wa wilaya, afisa elimu wa mkoa, wizara za...
  6. JamiiForums Tanzania Naweka Kumbukumbu Sawa, Murtaza Mangungu ni Mwana-CCM Kindakindaki, Wakili Kaluwa kutoboa ni ngumu sana

    Wakuu kwema? Leo Timu ya Simba SC inafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Timu kupitia wanachama na pia Nafasi ya Wajumbe watano kuingia kwenye Board. Katika wagombea wa nafasi ya Uenyekiti kupitia Wanachamna ni pamoja na Bwana Murtaza Mangungu ambae ndie Mwenyekiti anaemaliza muda wake. Huyu...
  7. JamiiForums Tanzania Pastors kueni na huruma acheni kuwakamua kondoo wa Bwana

    Habari Nimebaki mdomo wazi baada ya ndugu yangu wa karibu kukata 10% ya mafao yeke ya usitaafu na kumpelekea mchungaji kama fungu la kumi kakata tena vimilioni kadhaa vingine katoa kama sadaka ya malimbuko ya mwisho wa mwaka kanisa linapokea tu hiyo pesa na halijui baada ya miaka kumi ijayo...
  8. JamiiForums Tanzania Take risk aisee...

    Habari zenu?? Kuna uliusemi unasema "jilipue",ni kausemi fulani kako serious kwa mtu aliyepo serious. Haya maisha yana formula moja tu take risk,watu wengi walio thubutu formula hii walijikuta wamepiga hatua nyingi kwenye maisha yao. Mnaweza kusema mleta mada ametake risk gani,kuna kipindi...
  9. JamiiForums Tanzania Ngano ni nafaka hatari sana

    Ngano ni nafaka hatari sana na watz wengi hatufahamu. Tofauti na nafaka zingine kama mahindi, ulezi, mtama na mchele, ngano ina aina fulani ya protin inayoitwa Gluten. Protin hii ndiyo hufanya ngano ikikandwa iwe kama banzoka wakati ukikanda unga wa mahindi hauwi namna ile. Sasa hii protin...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa miaka yetu ilikuwa ngumu sana kuwa shoga. Unaanzaje kwa mazingira yale?

    Umesoma shule za kibabe hasa kama Kantalambo, Mazwi, Urambo, Lutengano, Ndembela, Iyunga, Tabora Boys, Majengo, Ruvu, Kibiti n.k Unaanzaje kuwa shoga? Lazima matako yatakaza tu nakwambia. Kazi za mbilingembilinge za huko. Darasa likipiga kelele wanakuja walimu pale mlangoni wamejipanga na kila...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Jamani hii habari ya mwalimu wa madrasa kumvunja mtoto kidole kisa kuhudhuria kongamano imenisikitisha sana

    Wakuu hii imetokea wilaya ya Siha Mwalimu wa madrasa amemwadhibu mwanafunzi kiasi Cha kumvunja kidole
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini polisi wanatutesa Sana sisi ndugu zao (raia)

    Habari za mchana ndugu zangu, Hawa polisi mbona wanatunyanyasa na hawakemewi na serikali. Juzi pale mataa ya ubungo walimkamata jamaa kwa kupaki bajaji sehemu isiyoruhusiwa, kwa kuwa walikuwa wamevaa kiraia jamaa aliwaomba kitambulisho maana walitaka wampeleke kituoni. Cha ajabu polisi mmoja...
  13. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro vijana wameharibika sana. Kina mama wanalia

    Ilianza Pemba, Mombasa, Lamu,Tanga,Dar na Zanzibar kwa Ujumla.. Sasa imehamia Kilimanjaro.... Vijana wengi sasa wamekuwa mabwabwa.... Yaani inasikitisha sana miaka ya hivi karibuni nguvu kazi ya vijana imeharibiwa sana. Yaani kwa sasa kumkuta shayo,shirima, urio, massawe Bwabwa kawaida sana...
  14. JamiiForums Tanzania Amri ya kutotamani mke wa mtu au mwanamke inapotoshwa sana na jamii

    Hey
  15. JamiiForums Tanzania CDM mkija na sera ya kufunga mipaka ili bei ya chakula ishuke mtapotea vibaya sana

    Pengine mmesahau, hii sera ya kufunga mipaka ambayo Bashe anaitekeleza ni sera ya CDM. Wakati wa uchaguzi wa 2020 Salumu Mwalimu kila alikokwenda alisema kuwa CDM ikishika madaraka wananchi watauza mazao yao kokote kule, ilimradi tu wamelipa kodi ya serikali. Ilikuwa sera moja bora sana. Sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Christian Ronaldo atastaafu kwa aibu sana

    Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench. Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Wanasaikolojia mlioko JamiiForums kwanini ukiwa na Hela husikii Njaa ila ukiwa huna Njaa itakuandama sana?

    Nimeambiwa ni tokeo la Kisaikolojia hivyo nami GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Maoni ( Comments ) zenu nielimike zaidi na ikiwezekana hata Nishibe kabisa kwani hapa nina Njaa hatari.
  18. JamiiForums Tanzania 2008-2009 Toyota Crown Hybrid the Next trending Car in TZ

    Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni 15km/ltr . Hii ni premium Edition ya crown iliyotengenezwa miaka iyo na kama tujuavyo kwa Majesta ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Mmakonde umenikera huko Rwanda

    Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake. Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Lissu yatakuwa yamemvunja moyo sana Lema

    Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, Makamu Mwenyekiti, amewahi kugombea Urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk, amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje? Nashauri kamati ya mapokezi ijaribu kutumia njia nyingine kutuepusha na aibu sisi BAVICHA iliyoko mbele yetu. Msigwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…