sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Nimetembelea shule inayoitwa 'Indian School Dar es Salaam'. Nimegundua wahindi wametuzidi akili sana

    Habari wadau. Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm. Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo. Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu...
  2. JamiiForums Tanzania Nimekumbuka sana mazingira ya UDOM, Kama Kuna mtu yeyote ana picha ya UDOM naomba aposti hapa

    Wakuu, ni miaka mitatu now tangu nimemaliza huko mavumbini. Infact katika safari ya maisha yangu UDOM ndio sehemu ninayoikumbuka zaidi. Marafiki, routes za town, ujasi, hostel life e.t.c. Sikujua zile shida kama course work, kumiss test, kugombania venues, foleni za kusain book na ada Leo...
  3. JamiiForums Tanzania Je, wajua tatizo kubwa sana kwenye nchi yetu ni lipi?

    Wakuu, Nakubali tatizo kubwa ni katiba iliyopo na najua muda si mrefu tutaipata! Tatizo kubwa zaidi hapa kwetu ni kwamba;-tuliamua kama Taifa , kuwepo mishahara MIKUBWA sana, posho kubwa sana na mafao makubwa Sana yawepo kwenye siasa kuliko kada nyingine zenye mashiko na maendeleo kwa wote...
  4. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

    Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri, HABARI WADAU; kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi, Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tumetoka mbali sana

    Ifikie hatua watu waache kujitoa ufahamu. Njaa tuiachie tumbo na si akili.
  6. JamiiForums Tanzania Napenda sana Wahaya (wanawake)

    Kuna kitu kinanivutia sana toka kwa wanawake wa kihaya, kabla ya kuhamia kanda ya ziwa nilikuwa sijui madini haya nilipokutana na mdada mmoja ana hiki kitu nilichanganyikiwa sana. Nilijua ni Muhaya nikaambiwa hiyo kawaida yao hao watu hadi lodge za BK nasikia wanatanguliza nylon kulinda godoro...
  7. JamiiForums Tanzania China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

    China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa. Changamoto...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina watumishi wengi wenye upeo na maarifa madogo sana

    Watumishi wengi ni watu wenye maarifa na upeo mdogo sana! Wakati tangazo la nyongeza ya mishahara linatoka mimi Fumadilu Kalimanzila niliandika humu JF nikawaeleza kuwa Tanzania haina uwezo wa kuhimili nyongeza ya mishahara ya 23.3%! Nilishambuliwa sana humu. Leo mtu amekuta ameongezewa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta hatasahaulika kwa muda mrefu sana, ni kiongozi mstaarabu sana

    Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta. Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi. Yuko down to earth. Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi. Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha. Lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Ahsante sana Azam!

    Kuhusu Historia iliyowahi kutokea hapo zamani iitwayo Ottoman empire/Osman, nilikuja na ombi la kuongezewa muda sisi kama wadau na wafuatiliaji wa tamthilia hii inayopendwa, inayosisimua na kufuatiliwa na watu wengi. Sina budi kuwashukuru Azam tv, kwa kulifanyia kazi ombi langu, si mimi tu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumuona Serukamba kwenye uteuzi nimewakumbuka wengi sana. Jiwe alikuwa mtu hatari sana!

    Serukamba, Hawa Ghasia, Vicky Kamata, Dr. Kafumu, Adadi Rajabu na Andrew Chenge, hawa wote walikuwa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge 2015-2020 (isipokuwa Vicky yeye alikuwa makamu mwenyekiti) Uchaguzi wa 2020 majina yao yalikatwa na jiwe pale Lumumba japokuwa waliongoza ktk kura za maoni...
  12. JamiiForums Tanzania Himars zailipua daraja muhimu sana kwa Urusi

    Huku Marekani wakiendelea kuzalisha HIMARS kwa wingi na kupanga mikakati ya kuzituma Ukraine, zimeendelea kutesa Warusi, hawana hamu nazo...... A key Russian-held bridge in Kherson was hit in a Ukrainian counteroffensive to recapture the southern region from Russia. The Antonovsky bridge...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini nguruwe huwa wachafu sana?

    Kama unawajua vyema, nguruwe ni moja ya wanyama wasafi na wenye akili sana duniani. Sasa kwanini wanasifa ya kuwa wanyama wachafu sana? Kuna mawili. 1. Nguruwe huwa hawana tezi za kutolea jasho. Wala hawawezi kupunguza joto kwa kutoa ulimi kama mbwa. Hilo linafanya wahitaji mazingira yenye...
  14. JamiiForums Tanzania Sijaoa bado. Nimekuwa mtu wa papa sana. Asubuhi Pono usiku sikosi Changu. Naombeni Msaada

    Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile. Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi...
  15. JamiiForums Tanzania Hii inakera sana

    Jamani mtu akiolewa kaolewa na ukoo mtu anakuja na familia nzima . Yaani wazazi wote wawili , dada , kaka na wadogo zake ndani yanyumba halafu hawana hata haya yakukaa na wao ndio wamefika. Hata wakitafutiwa kazi wapo hapo hapo na chakusikitisha hawachangii chochote sio luku au chakula wala...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa January Makamba unafikirisha sana, lifanyike Jambo

    Habari wana Jf ,ninapata shida sana kuamini kwamba kabla ya kuteua mtu kuwa kiongozi tunafuatilia kwa kina sana . Kwa J Makamba mbali na kwamba ana roho nzuri na ndicho kitu nacho kipenda kwake nimeona haya :- 1.Kutakuwa na Shida kwenye ufaulu wa darasani ,sidhani kama ufaulu wake unaonyesha...
  17. JamiiForums Tanzania Nipo katika wakati mgumu sana. Nimejaribu namna nyingi bado sijapatiwa Ufumbuzi

    Jumamosi nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kutembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana. Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata...
  18. JamiiForums Tanzania Mazungumzo haya ya wabeba taka leo yamenifikirisha sana

    Leo nimeamshwa na sauti za gari la wabeba taka. Nikasikia wakizungumza kwa sauti ya juu huku wanakusanya madumu ya taka na kurusha kwenye gari. "Usioe mwanamke ambaye atakukimbia siku ikibidi mle mboga za majani na chai" (sina uhakika kama alisema chai) Yakafuata matusi "Siyo unaona mwanamke...
  19. JamiiForums Tanzania Hii nchi inahitaji kuongozwa kidikteta, Namkumbuka Hayati Magufuli sana!

    Kuna wakati unafika tunammis JPM kuoitia hili sakata la TUCTA na serikali hqpa nimemkumbuka sana JPM, sometime udikteta unasaidia Miaka sita watu hawajaongezwa mishahara lakini hawakuongea kitu walikaa kimya kabisa kama hakuna lililotokea. Samia kawainua wa kima cha chini kwa 70K na wengine...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

    Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata. Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari. Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao. Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…