Haijalishi kwenye kampeni umejaza watu kiasi gani, wingi wa watu sio wingi wa wapiga kura. Kama hawajajiandisha hao ni watazamaji tu .
Haijalishi una sera nzuri kiasi gani ila ili sera zako zishinde zinahitaji wapigakura waliojiandikisha kupiga kura
Haijalishi mnapambana na yapi lakini...
Niweke wazi msimamo wangu toka awali, kwamba nilikuwa naunga mkono uongozi wa ziada wa Freeman Mbowe kwa miaka mingine mitano.
Lakini zaidi ningependa aondoke kwa kupewa heshima anayostahili, sio kubezwa na Kupakaziwa matusi kama vile yeye ni stranger CHADEMA.
Kampeni za kumuondoa zimejaa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa wa Mara wamejitokeza hadharani na kueleza msimamo wao kuwa kwenye mchakato wa kinyang'anyiro cha kutafuta viongozi wa Kitaifa wa chama hicho wao wanaenda na Tundu Lissu kwa nafasi ya Mwenyekiti na John Heche kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti...
Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.
CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.
Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.
CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna...
Salaam, shalom!
Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu.
Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la...
Kwa namna uchaguzi ulivyofanyika ni wazi kwamba CCM wametambua wananchi wengi siyo wakiamini kwenye sanduku la kura.
Alianza JPM alipoona wananchi wanacheka naye lakini inapokuja upinzani wanawapa kura akafuta uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 kwa kuuvuruga.
Mwaka 2020 alipoingia kwenye...
Nimefika kupiga kura kituoni mida ya saa 5 asubuhi. Watu hawakuwa wengi na walikuwa wanakuja taratibu, wengine wapo shambani wanasubiri wapigiwe simu zamu yao ikikaribia.
Kilichoniudhi ni kukuta hakuna mpinzani hata mmoja anagombea, wote ni CCM tupu! Halafu nikakuta ule mtindo wa enzi za...
Mimi ni CHADEMA, lakini uchaguzi wa leo umenipa funzo kubwa.
CCM wana mbinu nyingi za kushinda uchaguzi, na kwa upande wa upinzani, inaonekana tuko usingizini. Hawa CCM wako tayari hata mtu afe ili wao washinde. Wana mbinu nyingi mno!
Kimsingi, ni haki ya Watanganyika kupuuza uchaguzi, kwa...
Kabla sijatoa sababu za kwanini ni ngumu sana kuiondoa ccm madarakani nitaorodhesha majina ya wababe waliowahi kujaribu kuiondoa ccm madarakani na Hali zao kwa sasa ,1995 ndio Kila mtu aliamini kazi imekwisha ,wanasiasa nguli walijiondoa ccm na kuunda ngome imara Sana ya ushindani na Kila...
Mfano mzuri ni kwa Paul Kagame wa Rwanda..
Hii ni awamu yake ya nne anashinda kwa kishindo cha kura za Wanyarwanda. katika chaguzi za awamu tatu mfulilizo zilizopita, Paul Kagame amekua akipata ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90%.
safari hihi sasa,
katika uchaguzi unaodaiwa kua wa huru, haki...
Wengi wanaweza wasipende lakini ukweli halisia ni kuwa vyama aina ya CCM au watawala mmoja mmoja aina ya CCM huwa hawatoki madarakani kwa sanduku la kura.
Hivi vyama vya namna hii vina mtindo wake wa kutolewa madarakani.
wabunge na vyombo vya sheria vya majimbo yaliyoshikiliwa na chama cha Democrats anachotokea Rais Biden yamekuwa yakifanya michezo michafu kukwamisha jitihada za Trump kugombea uraisi 2024.
Jimbo la Colorado lilimumuondoa Donald Trump kwenye sanduku la kura na majimbo mengine yalikuwa kwenye...
He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021.
On his social media platform after the ruling, Trump wrote: "BIG WIN FOR AMERICA!!!"
Trump is the frontrunner for the Republican nomination to...
Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba kueleza sababu chache za muhimu kwanini CHADEMA bado wanastahili kuadhibiwa kwenye sanduku la kura na wazalendo wote. Kwanza kabisa niseme kuwa sina chuki yoyote na hiki chama kinachojifia. Mimi kama mkristo ninaamini kila kitu kina mwisho wake...
Mkakati waliachana na Dr. Tulia Ackson- umekamilika ambapo wenye chama chao na ambao wakati wa regime iliyopita alitumia madaraka yake kuwaumiza wanaenda naye taratibu kuelekea 2025. Wanafahamu kwamba hatoweza kutoka katika sanduku la kura kwa sababu hakuna anayemkubali kulinganisha na wapinzani...
Namsikia sikia aliyekuwa mgombea Urais 2020 kupitia CHADEMA Tundu Lissu akijisulubu nafsi yake kwa dhana ya kufikirika tu kwamba hakuna hata kiongozi hata mmoja aliyeshinda.
Anayesema haya atambue kwamba:
Siku ya kupiga kura 2020 niliona misululu mirefu sana ya watu wakisubiri zamu zao kupiga...
Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona
Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa.
Ndugu Watanzania tuwakatae...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli kuwa kwa Sasa Hakuna mpinzani au mtu yeyote kutoka upinzani mwenye uwezo wa kushindani na Rais Samia Jukwaani Na hata katika sanduku la kura, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Sana hapa Barani Afrika na ukanda huu wa Afrika...
Nimekuwa nikijiuliza Katika mazingira ya nchi yetu, iliyobarikiwa na Mungu, rasilimali za kila aina, kama vile, gesi, madini ya kila aina, ardhi yenye rutuba, inayoweza kustawisha mazao ya biashara na chakula kwa kipindi chote cha mwaka.
Hivi Katika mazingira hayo, ndiyo watawala wetu wameona...
Dalili ya mvua ni Mawingu, na ukweli usiposemwa adharani utasema sirini. Hali ni ngumu, miyoyo ya watu imekunjamana, wanacheka na wewe ukiondoka wanakung'ong'a. Inshort huna watu nyuma yako na hakutatokea miujiza ukawa na watu nyuma yako Hadi pale utakaruhusu maridhiano ndani ya chama.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.