Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
Takwimu za tume ya Taifa ya uchaguzi zinaonyesha wapiga kura waliopiga kura upinzani ni takribani milioni tatu kati ya milioni kumi na tano waliojitokeza na kati ya milioni 29 walioandikishwa.
Pamoja na watanzania hawa kuwa wachache kwa msingi wa tume ya uchaguzi ila mtaani inaonekana nguvu yao...
Ndugu zangu Great Thinkers hebu tujiulize haya yanayotokea na uhalali wake. Na sasa tufike mahali tuseme sote tena tukiwa na akili timamu kabisa pasipo shaka na pasipo ushabiki wowote kwamba sanduku la kura ndio suluhisho la kupata viongozi ambao wananchi wanawataka kwa ridhaa yao ili waweze...
Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi kifungu cha 58 kifungu kidogo cha 1, sanduku la kura linatakiwa kutengenezwa kwa namna ambayo inamruhusu mpiga kura kuweza kuweka karatasi ya kura bila kuweza kuitoa
Kifungu kidogo cha pili kinasema kuwa kabla mchakato wa kupiga kura haujaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.