sarafina

Voices of Sarafina! is a 1988 American documentary film about the anti-apartheid musical stage play Sarafina! directed by Nigel Noble. It was screened in the Un Certain Regard section at the 1989 Cannes Film Festival.

View More On Wikipedia.org
  1. Room 28

    JamiiForums Tanzania Natafuta huu wimbo ameshilikishwa marehemu hussen jumbe KACHICHI album Sarafina

    Huu wimbo nimeutafuta miaka 5 bila mafanikio si mitandaoni si wapi!! Mwenye nayo hii album au baadhi ya nyimbo kwene hii album zawadi nono kutolewa
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Sarafina 1987: The Soweto youth uprising scene. Sasa nimeona maana yake, ina uhalisia kuliko nilivyodhania kabla..!!

  3. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Movie ya Sarafina imenitoa machozi ukubwani. Sitonyamaza maovu yakitawala!

    Jana niliamua kuangalia tena filamu maarufu ya Sarafina. Filamu hii niliiangalia utotoni na ilikua ikiniburidisha, hasa kwa zile nyimbo zake. Hata hivyo, jana nimeiangalia nikiwa mtu mzima na ninayeelewa kila kitu. Nikajaribu kufananisha na kile kinachoendela Tanzania, machozi yalinitoka...
Back
Top Bottom