Jana niliamua kuangalia tena filamu maarufu ya Sarafina. Filamu hii niliiangalia utotoni na ilikua ikiniburidisha, hasa kwa zile nyimbo zake.
Hata hivyo, jana nimeiangalia nikiwa mtu mzima na ninayeelewa kila kitu. Nikajaribu kufananisha na kile kinachoendela Tanzania, machozi yalinitoka...