Wakuu
Wizara ya Afya imewekeza Sh5 bilioni katika ujenzi wa jengo jipya la tiba mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa.
Hatua hii inalenga kuboresha huduma za matibabu ya saratani kwa wakazi wa Kanda ya Kaskazini na maeneo...
Habarini
Nauliza kama ni kweli kiambata(ingredient) sodium benzoate kilichomo kwenye vipodozi,vyakula na vinywaji hasa soda na energy drinks, kinasababisha saratani ya damu?
===============
Moderator Active Naomba title isomeke "Je, ni kweli soda na vinjwaji vya energy vinasababisha saratani?"
Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waangaa wa Saratani ya shingo ya kizazi
SARATANI NI NINI
Miili...
Mahindi na karanga ni mojawapo ya mazao muhimu ya chakula. Mazao hayo huweza kushambuliwa na fangasi wanaozalisha sumukuvu ambayo huathiri usalama wa chakula.
Sumukuvu ni nini? Sumukuvu ni sumu zinazotokana na aina ya ukungu (fangasi) unaoota zaidi kwenye mazao kama mahindi na karanga.
Jinsi...
Wizara ya Afya ya Urusi imetangaza kuwa imegundua chanjo dhidi ya saratani ambayo itatolewa bure kwa wagonjwa na inatarajiwa kuanza kutumika rasmi mwaka 2025.
Andrey Kaprin, Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Tiba ya Mionzi cha Wizara ya Afya nchini Urusi, alisema chanjo hiyo itazinduliwa mwanzoni...
Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe
Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza viungo ndani ya miili yetu kama moyo ini figo nk
Wagonjwa walio wengi baada ya kupiga hiyo mionzi huanza...
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu, na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema maradhi ya Saratani ni hatari na yanarejesha nyuma juhudi za jamii na uchumi hata kusababisha umasikini kwa jamii kutokana na gharama kubwa za...
Daktari bingwa wa magonjwa ya Wanawake na Uzazi Dkt. Lilian Mnabwiru wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, amesema miongoni mwa sababu zinazoweza kueneza kwa haraka kirusi kinachopelekea saratani ya mlango wa kizazi ni watu kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja.
Soma pia: MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi...
Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum.
Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari.
Mabaki ya sukari baada ya kuiunguza ( AMP) husisimua king'amuzi (exercise sensor) kilichoko kwenye chembe hai. King'amuzi hiki...
Gharama kubwa ya tiba ya magonjwa ya saratani na figo nchini zinasababisha baadhi ya wagonjwa kuacha tiba sahihi hospitalini na na kutumia dawa za kienyeji ambazo zinachangia vifo.
Pamoja na jitihada za serikali kuboresha huduma eneo la magojwa hayo kwa kutoa msamaha wa matibabu kwa baadhi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana Watatu kwa kosa la uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia wakitumia Kemikali ya ‘Ethanol’ isivyo halali
Wahusika hao waliohukumiwa Frank Donatus Mrema, Faham Salim Ngoda na Issa Juma Hassan walitumia...
Serikali imetenga bilioni 3.5 katika bajeti ya wizara ya afya kusimamia tafiti na matumizi ya matokeo ya tafiti mbalimbali katika afua za:
Tafiti za magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani
Ufuatiliaji wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa
Utafiti juu ya changamoto ya afya ya akili
Matumizi ya...
Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu cha mkojo inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapafu.
Kwa sababu tezi dume ni kiungo cha uzazi ambacho kazi yake kuu ni kusaidia kuzalisha mbegu za...
JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV?
Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo.
Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
Princess of Wales, Kate Middleton ametangaza kuwa anapatiwa matibabu wa ugonjwa wa Saratani baada ya kugundulika nao.
Taarifa hii inakuja baada ya sintofahamu ya muda mrefu kidogo waliokuwa nayo Waingereza kuhusu kutokuonekana hadharani kwa Princess of Wales na hali yake ya kiafya ikoje
Habari...
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Marekani (Heart.Org) kwa Watu wenye miaka kati ya 20 hadi 70 umeonesha Watu wasiopata muda mrefu wa Kulala Usingizi kwa zaidi ya Saa 7 kila siku wanakuwa hatarini kupata Saratani au Kifo cha Ghafla.
Utafiti huo uliochapishwa kupitia Journal...
Rais Putin amesema leo kwamba nchi yake ya Urusi iko mbioni kizundua chanjo dhidi ya Saratani ama Cancer.
---
MOSCOW, Feb 14 (Reuters) - President Vladimir Putin said on Wednesday that Russian scientists were close to creating vaccines for cancer that could soon be available to patients.
Putin...
Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa AFCON 2023, mfungaji wa goli la ushindi Sebastien Haller alihojiwa na Waandishi wa Habari, akiwa katikati ya mahojiano akaanza kulia.
Hatua hiyo ilitokana na kumbukumbu kuwa mwaka mmoja uliopota alirejea uwanjani baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.