Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kinga wa Taasisi ya ORCI, Dkt. Crisprin Kahesa ambaye amesema, Watanzania wengi wanaogopa na hawapo tayari kupokea majibu ya vipimo vya Saratani jambo ambalo ni hatari
-
Amesema Wanawake wanaofika katika Taasisi hiyo hufanya uchunguzi wa Saratani ya Matiti...
Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
Kwenye picha chini ni mvulana wa miaka 10 kutoka Ghana aliyekufa kwa Saratani. Wazazi wake hawakuwa na pesa ya matibabu hivyo alikaa nyumbani hadi hali yake ilipokua mbaya zaidi, na kubaki na siku chache za kuishi.
Akiwa hospitalini, aliomba hsopitali imsaidie kutimiza ndoto yake ya kupanda...
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imeendelea na kampeni ya kutoa elimu, vipimo na matibabu ya Saratani katika mikoa mbalimbali Nchini Tanzania, ambapo safari hii timu yao imefika Mkoani Mara.
Wataalamu wabobezi wa Saratani ya Ocean Road wamewasili Mara tangu Jumatatu ya Juni 12, 2023 na...
Katika kuwafanya Wananchi wengi kuwa na ufahamu kuhusu Ugonjwa wa Saratani na kuwapa elimu jinsi ya kukabiliana na changamoto hiyo ya kiafya, Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaendelea na mchakato wa kutembelea mikoa tofauti kutoa elimu na mafunzo kuhusu ugonjwa huo.
Meneja wa Kitengo cha...
Hadithi fupi!
SITOSAHAU ALICHONIFANYA DAKTARI WA SARATANI YA MATITI
SEHEMU YA KWANZA
Muwasho na maumivu vilizidi katika maziwa yangu siku hadi siku, nilivumilia nikajikuta nashindwa ndipo nikaomba ushauri kwa wanawake wenzangu
"Shoga nawashwa na matiti sana kipindi kirefu" nilimtumia ujumbe...
Stafeli (soursop), pia inajulikana kama Graviola, ni tunda ambalo asili yake ni Amerika Kusini na Kati. Mti wa mstafeli hutoa tunda kubwa la kijani kibichi na lenye mvuto. Tunda hilo linajulikana kwa ladha yake tamu na nyororo, ambayo inafanya kuwa kiungo maarufu katika vinywaji hususani...
Nianze kwa kuhoji; Hivi mmegundua kwanini ktk maeneo ya taasisi za Umma kuna katazo "HURUHUSIWI KUPIGA PICHA".
Na mnaweza kujiuliza kuna uhusiano gani, wateule wanapokula kiapo cha uamijifu husema "Sitotoa nje siri za Serikali."
Serikali ni sisi wananchi kwa kuwa tumeiweka madarakani.
Bila...
Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani?
Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
Last week kuna sehemu nilitembelea vijijini nilicho kutana nacho kilinitoa machozi. Duniani kuna watu wanateseka saana.
Nilikutana na mama mmoja mjane ambaye anaishi peke yake anaumwa ugonjwa wa kansa.
Nilivyoongea naye akanipa maelezo jinsi alivyopata tatizo ilo ambalo lilianza kama kaupele...
Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema:
Dalili za awali za Saratani ya Ubongo ni kichwa kuumwa, mtu anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu, akimeza dawa haisaidii, kuna mauda anajisikia kutapika
Anaweza kuona mkono au mguu unaishiwa nguvu kama vile...
Uwezo mdogo wa wauguzi kutambua mapema ugonjwa wa saratani kwa watoto umetajwa kuwa changamoto mojawapo inayotatiza matibabu ya ugonjwa huo.
Katika kutatua changamoto hiyo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) ikishirikiana na Taasisi ya Global Hope ya nchini Marekani...
Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema:
Maumivu makali ya kichwa kwa mgonjwa, anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu na maumivu yakawa tofauti na maumivu ya kawaida, hata akimeza dawa haisaidii kupunguza makali, baada ya muda anaweza kuhisi kichefuchefu...
Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
Leo Februari 15 ni Siku ya Kimataifa ya Saratani kwa Watoto
Inakadiriwa Watoto na Vijana wa hadi miaka 19 wapatao 400,000 hugundulika na Saratani kila mwaka.
Ugonjwa huo ni sababu kuu ya Vifo licha ya Saratani nyingi za Watoto kutibika.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), baadhi...
Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na cha kwanza kwa hospitali hapa nchini kimekabidhiwa kwa uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road...
Februari 4 ya kila mwaka huwa ni maadhimisho ya siku ya Saratani duniani.
Takwimu za Afrika
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), bara la Afrika hupatwa na visa vipya vinavyokadiriwa kufikia milioni 1.1 kila mwaka na idadi ya vifo ikiwa ni 700,000. Takwimu hizi zinatoa makadirio ya vifo...
Wagonjwa wa saratani hupitia changamoto kubwa ya ulaji inayotokana na maudhi ya dawa wanazotumia au tiba wanayopatiwa.
Matibabu yao huzongwa na vipindi virefu vya kubadilika kwa hamu ya kula na uzito wa mwili. Baadhi ya tiba huwafanya wapoteze hamu ya kula hivyo kusababisha kupungua kwa uzito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.