saratani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    SoC02 Kuongezeka kwa saratani ya matiti kutokana na mambo ya mazingira na mtindo wa maisha

    Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao seli kwenye matiti hukua bila kudhibitiwa na huweza kutengeneza uvimbe. Saratani ya matiti inaweza kusababishwa na mchanganyiko wa vinasaba, mazingira, homoni na mtindo wa maisha kwa wanawake. Kuna aina tofauti za saratani ya matiti, kwa kuwa wanawake wengi...
  2. Lady Whistledown

    Johnson & Johnson kuacha kuuza Poda ya Watoto kwa Madai ya Kusababisha Saratani

    Kampuni hiyo ya Afrika Kusini imetangaza kuacha kuuza poda yake ya watoto yenye kemikali ya #talc duniani kote ifikapo Mwaka 2023, kutokana na hofu ya usalama wa watumiaji Mnamo 2020, J&J ilitangaza kuwa itaacha kuuza talc Baby Poda katika nchi za Marekani na Canada kutokana na kile ilichokiita...
  3. Willima

    Matumizi ya bangi na hatari ya saratani ya mapafu

    Bangi ni mmea ambao unaotumika kama dawa na burudani, hali ya kisheria ya matumizi ya bangi kimatibabu na matumizi ya burudani yanatofautiana kati ya majimbo. Watu wanaofikiria kununua au kutumia bangi wanapaswa kuangalia kwanza ikiwa ni halali katika jimbo lao. Watu wengi hutumia majani...
  4. C

    Je, Saratani ya damu (multiple myeloma) inaweza kupona?

    Naombeni kufahamu kama kuna tiba yeyote inayoweza kumponya mtu mwenye hii saratani ya damu kitaalamu wanaita multiple myeloma au plasma cancer!
  5. JanguKamaJangu

    Kipimo kidogo cha damu kutumika kupima Saratani ya matiti

    Wataalam wa Afya wamebaini kuwa kuna uwezekano wa kufanya vipimo vya Saratani ya Matiti kwa kutumia kipimo cha kawaida cha damu tofauti na kutumia kifaa maalum cha kupiga picha hasa wana wanawake wenye umri mdogo. Daktari wa upasuaji wa saratani ya matiti Profesa Kefah Mokbel wa Uingereza...
  6. John Haramba

    Sababu ya Pwani, Kanda ya Ziwa kuwa na Wagonjwa Wengi Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Takwimu za Dunia za mwaka 2018 za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha Wanawake zaidi ya 570,000 waligundulika kuwa na Saratani ya Shingo ya Kizazi, Kwa mujibu wa tovuti ya cancer.net ni kuwa kwa mwaka 2020 kulikuwa na Wanawake 604,127 ambayo walikuwa wameathiriwa na ugonjwa huo. Kwa...
  7. beth

    Dawa ya majaribio yaleta ahueni kwa wagonjwa wa Saratani

    Kwa mujibu wa Utafiti uliochapishwa katika Jarida la "The New England Journal of Medicine", Wagonjwa 12 waliotumia Dawa ya Majaribio ya Dostarlimab kwa kipindi cha miezi 6 walionekana kupata nafuu. Jaribio hilo dogo limefanyika Nchini Marekani Kwa mujibu wa Dkt. Luis Diaz, hii ni mara ya kwanza...
  8. Roving Journalist

    Yaliyojiri Clubhouse session ya JamiiForums Mei 26, 2022: Elimu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto

    Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania? Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni Kushiriki...
  9. Biz TV

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti dawa

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti Dawa. "Nimewapa maelekezo NIMR, Nataka kuona Mashamba ya miti Dawa nchi nzima, kwa kuangalia upatikanaji wa hizo dawa. Kwasababu hizi dawa zimetusaidia na zimetutibu" Alisema Waziri Ummy. Aidha Waziri Ummy...
  10. beth

    Wizara ya Afya: Tatizo la Magonjwa yasiyoambukiza linaongezeka

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema katika kipindi cha Julai 2021 - Machi 2022, kumekuwa na ongezeko la watu wanaolazwa kutokana na Magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo Kisukari, Shinikizo la Damu na Saratani Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka 2022/23 Bungeni, ametoa Wito kwa...
  11. JanguKamaJangu

    Ngono ya kinywa inaweza ambukiza Saratani ya Koo

    Human Papilloma Virus (HPV) ndicho kirusi ambacho inaaminika kinatajwa kuwa kinasababisha Saratani ya Kizazi, ambayo kwa asilimia kubwa inawaathiri wanawake. Pamoja na hivyo wanaume na wanawake wote wanaweza kuathirika na kirusi hicho kwa kupata saratani ya koo ikiwa watashiriki ngono ya kinywa...
  12. MacDking

    Siri ya dawa ya saratani/ kansa (cancer) na vyakula kwenye tiba

    CHEMOTHERAPY NA TIBA YA MIONZI MATOKEO DALILI Kukosa hamu ya kula, kutapika, kuharisha, upungufu wa damu, kupoteza nywele, wasiwasi ,kukosa usingizi, maumivu, uchovu, vidonda mdomoni, yeast infection, unyogovu. SABABU Zilizotajwa hapo juu ni baadhi ya dalili za matibabu ya saratani ya sasa...
  13. Lady Whistledown

    Aga Khan kujenga kituo cha Saratani kwa Billioni 13.8 jijini Dar es Salaam

    HOSPITALI ya Aga Khan, Dar es Salaam, imezindua rasmi ujenzi wa Kituo chake cha kisasa cha Tiba ya Saratani kitakachonufaisha hadi watu milioni 1.7 katika mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza. Kituo hicho kitakachojengwa katika hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, kitapokea hadi wagonjwa 125...
  14. beth

    Mbunge Kasalali Mageni: Nchi hii haiwezi kula Ripoti ya kupikwa. Tume iliyokwenda Mto Mara ichunguwe

    Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake" Mbunge huyo wa Sumve amesema "Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji...
  15. John Haramba

    Madhara ya kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ukeni, hatarini kupata saratani ya shingo ya kizazi

    Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya shingo ya kizazi ambayo ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi nchini. Amezungumza hayo Mtaalamu na Mshauri...
  16. John Haramba

    Hospitali ya Muhimbili waunda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto

    "Hospital ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Shirika la Tumaini la Maisha inaratibu upatikanaji wa dawa na kuzifikisha kwenye hospitali zinazounda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto," hayo yamesemwa na Dkt. Rehema Laiti, Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kwa Watoto Muhimbili. Anaendelea...
  17. J

    Yaliyojiri katika Clubhouse session ya Jamiiforums 15/02/2022: Safari ya matibabu kwa Mtoto mwenye Saratani

    Jamii Forums kwa kushirikiana na MUHAS, MNH, TLM wameandaa Mjadala utakaofanyika kupitia Clubhouse ya JamiiForums ili kuongeza uelewa juu ya Saratani kwa Watoto Nchini Tanzania. Kujua zaidi soma: Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto? Mjadala huu unatarajiwa kufanyika leo...
  18. beth

    Saratani kwa Watoto: Takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani kila mwaka

    Kila mwaka, inakadiriwa takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani. Miongoni mwa Saratani zinazowaathiri zaidi ni pamoja na Leukimia na Saratani ya Ubongo Katika Nchi zilizoendelea ambapo Huduma zinapatikana kwa kiasi kikubwa, zaidi ya 80% ya Watoto wenye...
  19. J

    Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
  20. John Haramba

    Tanzania: Watu 76 kati ya 100,000 hugundulika kuwa na saratani. 68% wamefariki 2021

    Kwa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Tafiti za Saratani (IARC) za 2018, zinaonyesha kuwa tatizo la saratani nchini Tanzania limekuwa likiongezeka siku hadi siku ambapo inakadiriwa kuwa katika kila watu100,000, watu 76 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani. Kwa hiyo nchi yetu...
Back
Top Bottom