Kirusi cha HPV (Human Papilloma Virus) kimetajwa kuwa hatari kwa kusababisha saratani za aina mbili zinazokua kwa kasi ikiwemo inayoathiri koo na shingo ya kizazi aina inayoongoza kwa asilimia 36 kati ya saratani zote zinazoshambuliwa nchini.
Wataalamu wamesema asilimia 80 ya wagonjwa wa...
Imebainika asilimia mbili tu ya Wanaume ndiyo wana uelewa kuhusu Saratani Mkoani Mwanza, hivyo kuwafanya baadhi yao kupoteza maisha kwa ugonjwa huo bila kujitambua.
Utafiti uliokusanya taarifa katika vituo vya Afya 50 mkoani hapo kuhusisha watu 1,120 ni Wanaume 11 pekee kati ya 560 waliohojiwa...
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Novemba 26, 2022 watazindua upya utoaji wa chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi nchini kwa wasichana ili kuwakinga dhidi ya aina hii ya saratani.
“Tulianzisha sisi chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana (HPV vaccine), ikaanza...
Je, ni uchaguzi wa mtindo wa maisha au teknolojia bora ya uchunguzi?
Kulingana na utafiti mpya, vijana wengi zaidi duniani kote walio chini ya umri wa miaka 50 wanagunduliwa kila mwaka na Saratani inayoanza mapema.
Dk. Suneel Kamath, kutoka Kliniki ya Cleveland alisema, "Hivi ndivyo ninavyoona...
Idadi ya watu wanaougua au kufariki kwa ugonjwa wa saratani ya Ini wataongezeka kwa hadi zaidi ya asilimia 55 ya kiwango cha sasa ifikapo mwaka 2040 iwapo jitihada za haraka hazitafanyika kuikabili changamoto hii.
Watu 905,700 walibainika kuwa na ugonjwa huu mwaka 2020 pekee huku wengine...
Mjadala unaendelea muda huu kwenye Twitter Spaces ya JamiiForums Septemba 29,2022.
Unaweza kusikiliza kupitia kiunganishi hiki hapa >>> JF SPACES
Dr. Shakilu Jumanne
Tunachoongelea hapa ni uvimbe unaotokea tumboni. Ni magroup ya magonjwa kadhaa yanayo sababisha saratani tumboni.
Dr...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema watu 25,000 walifariki kwa ugonjwa wa Saratani ndani ya mwaka 2020 pekee na kuufanya ugonjwa huo kuwa tishio zaidi ya Uviko-19 ilioua watu chini ya 1,000 hadi sasa.
Waziri Ummy pia amekiri kuwepo kwa uhaba wa vifaa tiba na dawa kwa wagonjwa wa Saratani na...
Wakati baadhi ya wanawake wakizichangamkia dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio, watalaamu wamesema mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa na Mamalaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) hivyo wajiepushe nazo.
Tahadhari hiyo inatolewa huku matangazo ya dawa hizo pamoja na za kuongeza matiti na...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, leo Septemba 23, 2022 ameweka wazi kuwa, kila mwaka takriban watoto 800 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani nchini Tanzania hivyo kuchangia ongezeko la vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.
Waziri Ummy amesema hayo katika kikao na Taasisi ya Global HOPE iliyoko...
Wahudumu wa afya nchini Scotland wamepewa mwongozo mpya unaoangazia uhusiano kati ya pombe na saratani.
Mwongozo huo uliochapishwa na Scottish Health Action on Alcohol Problems (SHAAP), unabainisha kuwa unywaji pombe ni sababu ya hatari kwa saratani kadhaa.
Inapendekeza wataalamu wanaweza...
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Damu kwa Watoto kutoka Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dkt. Heronima Kashaigil amesema kuwa watoto 5 hadi 7 wanahudhuria Kliniki ya matibabu ya Saratani kila siku, sawa na watoto 250 kwa mwezi.
Utafiti uliofanywa na Shirika la ICCARE Tanzania ulibaini...
MAANA
Saratani ya shingo ya kizazi ni ile inayoanzia sehemu ya mwisho ya nyumba ya kizazi , pale sehemu hiyo inapoungana na sehemu ya juu ya uke.
JE, NINI CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI?
Virusi vya papiloma ndio chanzo cha saratani ya shigo ya kizazi
Picha 01. Sehemu ya shingo ya...
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliyopo jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhitaji wa matiti bandia kwa ajili ya kusaidia akina mama wenye saratani ya matiti ambao wengi wao wamekuwa wakikatwa titi na hivyo kuhitaji titi bandia ili wawe na mwonekano mzuri.
Hayo yameelezwa leo jijini Dar es...
Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform.
Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?
Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani...
Mratibu wa Afya ya Kinywa na Meno Taifa kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kwa mwaka 2021, takriban wagonjwa 600 waligundulika kuwa na saratani za kinywa na meno.
Dk. Nzobo alibainisha hali hiyo Septemba 7, 2022, Mkoani Dar es Salaam katika mahojiano na Nipashe wakati wa Kongamano...
Daima saratani hutishia inapokuja kugonga, lakini hivyo hasa wakati mlango ambao unagongwa hodi ni wa nyumba yako. Huzuni kubwa, ingawa tiba-mionzi ni bora sana katika kuharibu kansa seli yoyote zinazo wezekana kubakia, pia hutokea kuua seli za afya katika makundi pia ·Kama jambo la kweli, watu...
Habari za leo wapendwa, naomba msaada kwa anqejua garama za operation ya saratan ya matiti kwa pale ocean road nina ndugu yangu anaumwa hilo tatizo.
Natanguliza shukrani 🙏🏻
Utafiti mpya umehitimisha kwamba maradhi ya saratani yanaweza kuzuilika kwa kudhibiti visababishi vya maradhi hayo kama matumizi ya tumbaku na pombe pamoja na uzito mkubwa wa mwili.
Utafiti huu ni kulingana na jarida la tiba la nchini Uingereza la Lancet. Utafiti huo umeongeza kuwa asilimia...
Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho.
Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu.
Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.