Wizara ya Afya ya Urusi imetangaza kuwa imegundua chanjo dhidi ya saratani ambayo itatolewa bure kwa wagonjwa na inatarajiwa kuanza kutumika rasmi mwaka 2025.
Andrey Kaprin, Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Tiba ya Mionzi cha Wizara ya Afya nchini Urusi, alisema chanjo hiyo itazinduliwa mwanzoni...