Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu.
Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80!
Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
Yanga ni timu inayo 'enjoy' sana kucheza katika space. Ni timu inayofurahia sana aina ya soka la 'kutembeza ball'. Ile falsafa ya coach Ramović ya 'Gusa achia twende kwao' haikuanza kwake, bali imekuwa falsafa ambayo naweza kusema ni ya Rais wa club, Eng.Hersi Said. Rais wa Yanga ni aina ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni.
Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa,
Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe...
Maendeleo yoyote yana gharama zake na kilichotokea leo ndio matokeo ya maendeleo hayo. Sasa nawasihi muendelee kushikamana swala la ubingwa muliweke pembeni nyie endeleeni na project yenu.
NAtabiri maneno yatakayoanza sasa
-GSM ana dhamini timu nyingi
-Bahasha zinatembea (zitatembea mpaka tar...
Polisi wa usalama barabarani Kitengo cha pikipiki (escort) wamevalishwa sare za CCM wakiwa sambamba na msafara wa Samia.
Vilevile, pikipiki za Polisi nazo zimenakishiwa kwa rangi za CCM.
Pia soma: LIVE - Yanayojiri Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma January 18 - 19, 2025
Wakuu kesho kuna mchezo wa kukata na shoka baina ya Yanga sc vs mc alger, sasa katika dodoso zangu nimemuuliza mtaalamu mmoja kutoka unguja amenijuza mpaka sasa kwa yeye anavyoona ubao unasoma ni sare ya kufungana.
Anenijuuza kuwa kinyota timu zote hadi hivi sasa zinaoneka zina uwiano sawa...
Wakuu,
Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake
=================================================
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la...
Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa.
Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu.
Mechi ni sare, believe me or not
Kwenye ulimwengu wa roho mchezo kati ya Singida Black Star ✨ dhidi ya Simba ,
Imechezwa na umemalizika huku matokeo yakiwa 1-1
Singida Black Star ⭐ wamepata goal dakika ya 39 huku Simba wakipata goli la penalty ya kubebwa mnamo dakika za nyongeza
Mechi imeisha hivo Kwa sare japo, tulijaribu...
Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua.
Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm...
Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League.
Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo...
Ni nadra sana kuona mwanajeshi wa Tanzania kapiga picha na kuitupia mtandaoni akiwa na vazi la jeshi . Si kwa maafisa au kwa maaskari.
Hii adabu si kwa JWTZ tu hata polisi, magereza, fire and rescue, uhamiaji na majeshi usu yote.
Jirani zetu Kenya wanajeshi wanachezea comedy sare zao.
Good...
Wakuu
Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka avue mask
Pia, Soma:
+ Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji
+ Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini...
Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania
Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela.
Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa...
Habari.
Sina Mda kuanza kutoa takwimu Mara kuchambua Mchezo wa Leo Ili kuthibitisha hio heading ya Uzi.
Ila hizi ni hisia zangu tu..Narudia hizi ni Hisia Zangu sio kimbinu wala Nini!
Simba at Draw Leo na Mashujaa.
Good morning 🇵🇹
- Historia inaonesha kwamba mara nyingi Simba wakiingia kwenye Derby na Mbwembwe huwa wanapoteza mchezo au kutoka sare.
Mara kadhaa Simba wakiingia kama second team huwa wanashinda, ndio maana hata wakati Sinbad wakiwa kwenye ubora walihangaika kuwafunga Yanga hawakuwahi kushinda mara 3...
Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu