Mpira ni moto kuliko kawaida!! Al Ahly wanahaha lakini wamekamatwa vilivyo. Huko Medeama kuna vipaji mno! Golikipa ni mzuri mno!
Kila upande umetengeneza nafasi a wazi lakini hawakuzituia vizuri!! Ni hakika haya ni mashindano ya mabingwa!
Ukilegeza unaweza kupigwa nje ndani mechi zote...
ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad, leo Novemba 25, 2023
Erling Haaland amecheka na nyavu upande wa City dakika ya 27 huku...
Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu.
Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari.
Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana...
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa?
Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na...
Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na kupewa kipaumbele kwa hiyo jamaa akaamua asepe tu ila kimoyo moyo anaumia.
Sasa bhana hii ni short...
Simba imepata sare ya 2-2 na Al-Ahly kwa Mkapa na 1-1 Cairo kwenye AFL mwaka huu. Kwa muda mrefu Simba huwa inaishia Robo Fainali kwnye Mashindano ya CAF, na sasa wameishia hapohapo kwenye robo ya mashindano kwa kutolewa na Al-Ahly kwa kanuni ya bao la ugenini.
Wadau wa Simba wanadai kuwa...
Simba kesho inabidi ashinde au vinginevyo atoe sare ya mabao 3-3 ndio aweze kufuzu kucheza nusu fainali.
Hii ni kwa mujibu wa sheria ya goli la ugenini kuhesabiwa mawili pale magoli yanapokuwa sawa baada ya mechi mbili kumalizika.
---
Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football...
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.
Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.
Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
Kwa niliyohakikishiwa GENTAMYCINE kwa wale Wenzangu ( wana Simba SC ) nawaombeni Mechi ya Alhamisi ya Simba SC dhidi ya Prisons FC msiende na Matokeo yenu na mjiandae mapema Kisaikolojia kwani kuna Miwili Kufungwa au kutoka Sare ila Kushinda tusahau labda tu Mpango huu Usitishwe rasmi Usiku huu...
Kwa mtazamo wangu ile game ya Yanga na Namungo ilikuwa iishe bila kufungana, ninaamini hivyo kwasababu ukiangalia ile game utaona jinsi Namungo walivyokuwa tayari wamefanikiwa kuwazuia Yanga hadi walikuwa wameshaanza kupaniki na walikosa utulivu katika kushambulia.
Ikawaje Yanga kupata goli...
Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa
Kula chuma hiko
---
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe...
Kuna watu huwa wanachanganya sana haya maneno. Kwamba ni ipi tofauti ya maneno Suluhu na Sare?
Kwa mujibu wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Maneno yote haya mawili yanazungumzia matokeo katika mchezo ambayo ni ya bila kuzidiana, matokeo ambayo ni sawa. Yaani, timu moja na nyingine kuwa...
Wakuu ni kwamba kila chama kina sare zake na zimekuwa zikivaliwa sana na makada. CHADEMA na magwanda yao huku CCM wakipendeza kwenye kijani na njano. Ni jambo jema kwa sababu sare zinapunguza sana matabaka kwenye mikusanyiko, mikutano na vikao. Kinachoniudhi ni tabia ya makada wengi wa vyama...
Habari ndugu zangu,
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma.
Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa...
Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni!
Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika!
Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10...
"Nimewaambia Wachezaji wangu kuwa Mechi hii ya leo ni ngumu Kwetu kwakuwa tunacheza na Timu ngumu na yenye Wachezaji mahiri hivyo tuache kufanya Makosa yasiyo ya lazima na tutumie nafasi zetu mapema kabla hawajatuadhibu" Kocha Mkuu wa Yanga SC Nabi.
Na GENTAMYCINE sijawahi kuona Kocha Nabi...
Kumbe nia yenu Kuu na Juhudi zote mlizofanya Wiki nzima kabla ya kukutana na Rivers United FC leo ni kutaka tu Mashabiki wenu AKILI HAMNAZO waujaze tu Uwanja wa Mkapa ili mpige Pesa lakini siyo Kuiandaa Timu ili leo isitie Aibu kwa kutoka Suluhu ( bila Kufungana ) wakati mnaichezea Nyumbani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.