Sativa, sativus, and sativum are Latin botanical adjectives meaning cultivated. It is often associated botanically with plants that promote good health and used to designate certain seed-grown domestic crops.
Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
TAFAKURI:
Kwa nini Jeshi la Polisi...
Sativa amesimulia kwa kina tukio la kutekwa kwake jijini Dar es Salaam, ambapo alifunikwa kwa mask yenye matundu ya macho na mdomo yaliyogeuzwa nyuma. Alisafirishwa kwa gari aina ya Hilux Double Kab lenye rangi ya kijivu na namba zisizo za Tanzania, huku dereva akienda kwa kasi ya 120-140 km/h...
1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
Wakuu, mnamuelewa kweli Masauni?
Sativa baada ya kufika tu hospitali alihojiwa kwa masaa matatu kabla sijakosea akieleza yote, polisi wakiwepo pamoja wanaandishi wa habari halafu anakuja kutuambia Sativa anaongea kwenye mitandao ya kijamii! Masauni anajielewa kweli?
Huyu naye ni mwingine wa...
jeshi la polisi
mahojiano na sativa
polisi
sativasativa apatikana
sativa hatoi ushirikiano
sativa ushirikiano polisi
ukatili wa polisi
watu wasiyojulikana
waziri masauni
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekwepa kujibu swali kuhusu nani aliyehusika katika madai ya utekaji wa Edgar Mwakabela, maarufu Sativa.
Bomboka alikwepa swali hilo akiwa katika kipindi cha Medani za siasa cha runinga ya Star TV, huku akieleza kuwa wajibu wa Serikali ni kulinda raia...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na kuhakikisha unafanyika uchunguzi wa tukio lililomtokea Kijana huyo ambaye hivi karibuni alikiri kuwa...
KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA
Edga Mwakabela (Sativa225)
Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela (Sativa255) ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces Salaam na kupatikana 27.06.2024 Katavi.
Shughuli inaanza siku ya Jumapili, 23.06.2024, maeneo ya...
Mtu upigwe risasi kwenye taya na haionyeshi ilikotokea wala haikutolewa mwiliNI uweze kusema. Ati Sativa imewezekana?!
mtu alikuwa ametwa, hakwa kwenye mtandao ila alikuwa anafatilia washikaji walivyokuwa wanampambania. Ati Sativa imewezekana?!
https://x.com/i/status/1806574879786877201
"Uchambuzi huu Kwa hisani ya Boniyai"
Mwaka huu 2024 pekee yake binafsi nime’ ripoti taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa.
Hawa ni baadhi tu ya watu waliopotea kwa kutekwa na kisha taarifa zao kutopatikana mahala popote ikiwemo vituo vya Polisi na Hospitali katika vyumba...
Kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania (LHRC) kimelaani kikali kitendo cha kikatili alichafanyiwa Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa.
Iliripotiwa kwamba, baada ya kutekwa, aliteswa na kushambuliwa kikatili kabla ya kupatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi siku ya tarehe...
Ameandika Wakili msomi.
👇
"Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X
Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni? Unawezaje kukubali Jeshi hili? Kamanda Wambura nakuomba 1) Ufanyike uchunguzi HURU wa kina 2) wajibisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.