sativa

Sativa, sativus, and sativum are Latin botanical adjectives meaning cultivated. It is often associated botanically with plants that promote good health and used to designate certain seed-grown domestic crops.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa

    KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA Edga Mwakabela (Sativa225) Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela (Sativa255) ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces Salaam na kupatikana 27.06.2024 Katavi. Shughuli inaanza siku ya Jumapili, 23.06.2024, maeneo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Sativa ni Lissu part II

    Mtu upigwe risasi kwenye taya na haionyeshi ilikotokea wala haikutolewa mwiliNI uweze kusema. Ati Sativa imewezekana?! mtu alikuwa ametwa, hakwa kwenye mtandao ila alikuwa anafatilia washikaji walivyokuwa wanampambania. Ati Sativa imewezekana?! https://x.com/i/status/1806574879786877201
  3. JamiiForums Tanzania Hadi Juni 2024, zimeripotiwa taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa

    "Uchambuzi huu Kwa hisani ya Boniyai" Mwaka huu 2024 pekee yake binafsi nime’ ripoti taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa. Hawa ni baadhi tu ya watu waliopotea kwa kutekwa na kisha taarifa zao kutopatikana mahala popote ikiwemo vituo vya Polisi na Hospitali katika vyumba...
  4. W

    JamiiForums Tanzania LHRC yalaani Ukatili aliofanyiwa Edgar Mwakalebela (Sativa)

    Kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania (LHRC) kimelaani kikali kitendo cha kikatili alichafanyiwa Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa. Iliripotiwa kwamba, baada ya kutekwa, aliteswa na kushambuliwa kikatili kabla ya kupatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi siku ya tarehe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

    Ameandika Wakili msomi. 👇 "Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta...
  6. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: IGP unawezaje kukubali kituo cha polisi kutumika na genge la watekaji?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni? Unawezaje kukubali Jeshi hili? Kamanda Wambura nakuomba 1) Ufanyike uchunguzi HURU wa kina 2) wajibisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…