saut mwanza

St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private university in Mwanza, Tanzania. It was founded by the Catholic Bishops of Tanzania in 1998 (accredited in 2002) as a secular, nonprofit, private institution. Before 1998, SAUT was called first Nyegezi Social Training Centre and then Nyegezi Social Training Institute. SAUT has over 10,000 students with an anticipated minimal rise each new academic year. The university attracts students from Tanzania and elsewhere, particularly Kenya, Uganda, Sudan, Ethiopia, Burundi, Malawi, Zambia, and recently Germany and other foreign nations. SAUT admits students of all nationalities and religious affiliations.

SAUT extends over 600 acres (2.4 km2) in the Nyegezi-Malimbe area, 10 km (6.2 mi) south of Mwanza on the shores of Lake Victoria. The university is divided into two campuses. The main campus (old campus) houses the administration buildings and the Faculty of Business Administration. The Malimbe campus, located one km away, is home to the Faculty of Law, Social Sciences, Engineering, Business Administration, Education and Mass Communication.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Mifumo ya utoaji maji katika kata ya Luchelele mtaa wa Buhima maeneo ya chuo cha SAUT Mwanza ni changamoto

    Maji yanatoka usiku wa manane na yanachuruzika kidogo sana inachukua takriban dakika 10 kujaza ndoo kubwa. Tunashindwa kutambua tatizo ni line za maji au ni sisi. Pia bill ya maji inakuja kubwa kuliko matumizi
  2. ngara23

    Tuliosoma SAUT MWANZA ( main campus) tukutane hapa

    Binafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza Nimehitimu pale 2015 Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri mkuu Ditto Biteko, David Kafulila, Heche, Malisa, n. K Mtu aliyesoma SAUT laZima awe na maarifa ya...
  3. GENTAMYCINE

    Napendekeza waanze haraka sana hili Zoezi na Mwamposa na Mwacha kwani nina uhakika nao wana Changamoto hii tajwa na Padri Sanga wa SAUT Mwanza

    Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri. Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
  4. A

    KERO Chuo kikuu SAUT usajili umeanza leo lakini hakuna sehemu ya wanafunzi kupata chakula

    Uongozi wa chuo wajibikeni kwa hili au mamlaka husika wasaidieni watoto na wazazi walionza fika to wiki iliyoisha hakuna malazi kama vile mahali pa kupata chakula. Uongozi wa chuo wajibikeni au mamlaka husika wasaidiane
  5. A

    KERO Canteen za Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT ) Mwanza zimechakaa, hazifai kwa matumizi

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SAUT CAMPUS ya Mwanza. Changamoto tuliyonayo hatuna canteen za chuo. Majengo yamechakaa sana imefika hatua wazabuni wamekimbia kwa miundombinu kuwa chakavu sana. Majiko yanavuja wakati wa mvua. Majengo yamechakaa sana kiasi kwamba hata sisi wanafunzi hatuna...
Back
Top Bottom