Maji yanatoka usiku wa manane na yanachuruzika kidogo sana inachukua takriban dakika 10 kujaza ndoo kubwa.
Tunashindwa kutambua tatizo ni line za maji au ni sisi. Pia bill ya maji inakuja kubwa kuliko matumizi
Binafsi nimepata maari ya kutosha kutoka saut Mwanza
Nimehitimu pale 2015
Chuo cha SAUT kimetoa wanasiasa wanaojiamini na wanalitumikia Taifa Kwa uadilifu
Baadhi ya wanasiasa ni Naibu waziri mkuu Ditto Biteko, David Kafulila, Heche, Malisa, n. K
Mtu aliyesoma SAUT laZima awe na maarifa ya...
Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri.
Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
Uongozi wa chuo wajibikeni kwa hili au mamlaka husika wasaidieni watoto na wazazi walionza fika to wiki iliyoisha hakuna malazi kama vile mahali pa kupata chakula.
Uongozi wa chuo wajibikeni au mamlaka husika wasaidiane
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SAUT CAMPUS ya Mwanza. Changamoto tuliyonayo hatuna canteen za chuo. Majengo yamechakaa sana imefika hatua wazabuni wamekimbia kwa miundombinu kuwa chakavu sana.
Majiko yanavuja wakati wa mvua. Majengo yamechakaa sana kiasi kwamba hata sisi wanafunzi hatuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.