sayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara inayohusika na Sayansi na teknolojia ije na Sera ya kuharakisha maendeleo ya teknolojia ya Anga za mbali

    Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania. Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi. Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
  2. Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia!

    Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia! Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa tafiti (peer reviewer) kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia. Hii ni hatua kubwa na...
  3. Je, ni kweli kwamba ilipoishia imani ndio sayansi ikazaliwa? Au ilipoishia sayansi ndipo imani ikazaliwa?

    Kwenye mada moja kwa moja. Ni wapi umeona watu wenye matatizo ya akili na kulala majalalani na kula vyakula vilivyoharibika wakapatwa na matatizo ya tumbo/kuhara/ kutapika na kadharila. Swali la msingi, Je mtu anayeishi na uchizi mpaka jamii ikamtenga, Kwanini haumwi ? Je anaishi kwa imani au...
  4. Israel inatumia sayansi na Palestine inatumia imani

    Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa. Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa wajipange kwenye sayansi zaidi maana mbinu zinatumika na israel ni za kisayansi zaidi kutoa kipigo...
  5. Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

    Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile. Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi? Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
  6. Ujenzi wa Maabara Tatu za Masomo ya Sayansi Kwenye Kila Sekondari ya Kata Unaendelea Vizuri: Musoma Vijijini

    UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE KILA SEKONDARI YA KATA UNAENDELEA VIZURI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 kwa sasa lina Sekondari 26 za Kata na 2 za Madhehebu ya Dini. Ujenzi wa Sekondari mpya 11 unaendelea kwenye baadhi ya Kata. Ujenzi wa maabara tatu za masomo ya...
  7. Lishe bora ni sayansi

    Habari wanajf, Kula ugali kuna faida kadhaa za kiafya zaidi ya zile nilizozitaja awali: 1. Kontrola ya Uzito: Ugali unaweza kusaidia katika kudhibiti uzito kwa sababu ya ukamilifu wake na uwezo wake wa kutoa hisia za kujaza haraka. Hii inaweza kusaidia kuzuia ulaji wa ziada. 2. Ukolezi Bora...
  8. Pre GE2025 Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa: Tumesikitishwa Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na kadi ya CCM ili wasaidiwe kupata mkopo

    YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
  9. Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu ili kukuza ufaulu

    Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu nchini Tanzania ni mkubwa sana kwa kukuza ufaulu na maendeleo ya wanafunzi kwa njia zifuatazo: 1. Kuboresha Ufahamu wa Kisayansi: Kujifunza sayansi huwasaidia wanafunzi kuelewa masuala muhimu kama afya, mazingira, na maendeleo ya jamii. Hii...
  10. A

    KERO Serikali tunaomba itusaidie wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tuajiriwe

    Serikali tunaomba itusaidie MUHAS! Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina wakufunzi walioajiriwa na wanaotufundisha wanajitolea kutoka Hospitali ya Taifa...
  11. A

    DOKEZO Serikali iajiri Wakufunzi MUHAS, Kitengo cha Sayansi ya Tiba kuna changamoto kubwa

    Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina Wakufunzi walioajiriwa. Wanaotufundisha wanajitolea kutoka...
  12. SoC04 Mabadiliko katika teknolojia ya mawasiliano na uchukuzi

    Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe iliyowekwa mwaka 2024. Katika kipindi cha miaka kumi ijayo, tunaweza kubadilisha sura ya nchi yetu...
  13. MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. "Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa...
  14. SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  15. H

    SoC04 Kuwekeza kwenye matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia pamoja na kuboresha matumizi ya (internet) mtandao kwa kuweka gharama nafuu kwa wananchi

    Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
  16. SoC04 Uundwaji wa Wizara muhimu ya Sayansi na Teknolojia Tanzania

    Utangulizi Tanzania ni nchi yenye ndoto kubwa za kufikia maendeleo kupitia teknolojia. Ndoto hizi zinaweza kutimia endapo tutawekeza kikamilifu katika sayansi na teknolojia. Watanzania wengi wanaamini kwamba ili taifa lifikie maendeleo endelevu, ni lazima liwekeze katika sekta hizi mbili muhimu...
  17. M

    SoC04 Namna Tanzania inavyoweza kuzalisha wataalamu bora katika vyuo vya sayansi na teknolojia nchini

    Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo. Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
  18. X

    SoC04 Elimu ya Teknolojia ya kisasa iwe kipaumbele mashuleni kuendana na utandawazi na maendeleo ya sayansi duniani

    UTANGULIZI Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia. Bado tumelenga kuzalisha kundi kubwa la wasomi wasio na uwezo wa kuendana na maendeleo ya sayansi na...
  19. SoC04 Utajiri Uliojificha Kwenye Koti La Kimaskini, Ni Mda Muafaka Sasa Wa Kulifufua. Iundwe Wizara Mpya Ya Sayansi ,Technologia na Uvumbuzi

    TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
  20. T

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…