Wataalamu wa magonjwa ya kuambikiza Duniani kwa umoja wao wakiri kutofahamu kwa nini nchi za Kiafrika hazijaathirika kwa kiwango sawa na nchi nyengine Duniani.
Wataalamu hao wamesema , “ Hali ya ugonjwa wa Corona katika nchi za Afrika hata wao zinawashangaza”. Wengi wamekiri kuwa wakati ugonjwa...
Tafuta namba ya huyo unayetaka awe mpenzi wako, kwa kuulizia marafiki zake n.k
Andika meseji nzuri au tamu ya kuhusu kumlalamikia mpenzi wako ambaye ni 'fake', ili itakapomfikia huyo unayetaka awe mpenzi wako ajue meseji si ya kwake bali imeenda kimakosa. Tuma meseji nyingi za kuvutia za...
Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya .
Mytake : Wassira bado yupo
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani
Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
Mojawapo ya makosa makubwa ya Kampeni na uchaguzi duniani Kote Ni kumu-Underestimate opponent wako. Hili kosa huwa halifanyiki kwenye Siasa tu hata kwenye michezo na kwenye medani za kivita Ni kosa kuu Kati ya makosa makubwa yanayotajwa.
Kuelekea October kila mwana CCM anayezungumza anasema...
Inakuwaje ndizi zinakuwa zimekomaa kabisa, tena zingine kukomaa kiasi cha kuanza kupasuka lakini nikizikata ili nizivundike ziwe mbivu basi huwa haziivi vizuri, na hata zikiiva basi inakuwa kwa kuruka ruka, yaani inaiva moja chini, kati au juu pasipo mtiririko.
Lakini nikiweka chumvi au majivu...
Mh Rais Magufuli nakusalimu.
Nimetoka Magereza hivi karibuni ambako nilikuwa huko kwa zaidi ya miezi minne kwa kunyimwa masharti ya dhamana kwa dhamana iliyokuwa wazi.
Mh Rais, nimeona kwenye vyombo vya habari leo kuwa kwamba wale Wabunge waliokuwa wanataka kunisalimia nilipokuwa Magereza...
Naweza kusema labda wengi mmewahi kukutana na hali fulani hivi ambayo inastaajabisha kidogo. Je, kuna yeyote anajua nini kisababishi na inakuwaje? anaweza kuelezea kidogo?
HALI HIYO IKO VIPI?
1- Kwa maelezo mafupi ni hivi. Kuna muda unaweza kuwa upo katika mishe zako za kila siku kupambana na...
Habari wanajukwaa pia hongereni na sikukuu ya Eid Mubarak pia tuendeleee kuchukua tahadhari Kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni pia usisahau kuvaa barakoa uendapo kwenye highly populated areas.
Naenda straight to the point Mimi bado mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo Fulani hapa nchini...
Jibu rahisi la waafrika wote ambalo wamepewa na mabeberu, la kwanini Afrika ni masikini, ni 'ubaya na kasoro za viongozi wetu'. Lakini jibu sahihi ni ukosefu wa ujuzi wa kisayansi na teknolojia, kuzalisha na kutengeneza bidhaa kwa kutumia malighafi na madini yetu. Kwa sababu sio rahisi kupata...
Mwanzo 11 mstari wa 4
Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
Natoa hii hoja sababu inasikitisha sana kuwa Chama cha siasa ambacho kina umri zaidi ya miaka 15 au zaidi lakini bado hakijitambui na wala hakitambui kufanya mikakati ya siasa.
Na hapa nalenga hichi chama cha Chadema ambacho sasa ni chama kikuu cha upinzani.
Inaonyesha dhahiri kuwa wao mikakati...
Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba AFYA NDIO MTAJI WA NCHI KUJIENDESHA;
Ndio, yaani inabidi huduma za afya zitolewe bure na zigaramiwe na serikali.
Serikali za dunia mpaka sasa zimeshuhudia hasara kubwa sana kutokana na janga la CORONA, kwamba watawaliwa hawafanyi kazi...
Jamii zetu za Kiafrika na Tanzania kwa upekee wamekuwa wakifanya sayansi hii ingawa miaka ya karibuni umeonekana kumezwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Ipo hivi.." Mtu anapokata roho hufa taratibu na kwa hatua na kwa yeyote aliyewahi kuona wakati mtu anakata roho anaweza kubaini hatua...
Katika kukabiliana na changamoto ya ufaulu wa masomo ya sayansi nchini, Excellence Tuition Centre inakuletea huduma bora kabsa ya masomo ya ziada kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita
Masomo
Kwasasa tutafundisha masomo ya Physics, Chemistry, Biology na Mathematics...
Kuna uhusiano mkubwa kati ya uwezo wa kimasomo ya sayansi na maisha magumu aliyokulia mtu.
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua wengi ambao huwa na stamina na uwezo wa kusoma digrii ya pili na ya tatu ya masomo ya sayansi hapa nazungumzia "pure science" sio digrii za sayansi za arts kama...
Habari!
Taifa ni watu na tunapozungumzia mchango wa taifa katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia tunamaanisha jitihada za watu katika taifa husika katika kulitekeleza hilo.
Katika historia kuna watu wengi maarufu kutokana na vipaji pamoja na maarifa waliyokuwa nayo hapo zamani yaliyokuwa...
Habari wanamember,
Kwanza kabisa nataka niweke bayana wazungu ambao nawazungumzia, hawa ni wazungu ambao walikuja huku kwetu Afrika na kututawala, kwa kesi yetu ya Tanzania nitawaongelea Wajerumani na Waingereza.
Kipimo nitakachokitumia kupima uwiano ni miaka, kwamba itatuchukua miaka mingapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.