Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
NASA KUWAPELEKEA WANAANGA MAHITAJI MBALIMBALI HUKO ISS
Nasa wameichagua tena kampuni ya space x kuweza kuwapelekea wanaanga mahitaji yao mbalimbali huko kwenye kituo cha uchunguzi wa anga iss kati ya Tarehe 21-24 mwezi huu desemba
Mahitaji hayo ni kama nguo , vyakula na maji pia bila ya...
Mtoto mwenye miaka 11 mkazi wa kijiji cha Ngemo kata Ngemo Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amezua taharuki kwa kuonekana hai tena baada ya kufariki miaka
minne iliyopita.
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishana msaidiizi Henry Mwaibambe
amesema mtoto...
Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu.
Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa.
Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana...
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof. Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
=============
Katibu...
Habari yako ndugu msomaji.
Ama baada ya salamu na kumshukuru mungu naomba nianze kwa kusema kwamba MIMI NAAMINI MATATIZO YA KURITHI YANATIBIKA(hii ni imani yangu)
Baada ya kusema hivi naomba niingie kwenye mada yangu ya upara ama kupoteza nywele kichwani hasa ule wa kurithi wataalamu wanauita...
Na Fadhili Mpunji
Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Idara ya takwimu ya taifa ya China, Wizara ya sayansi na teknolojia, na wizara ya fedha ya China, inaonyesha kuwa mwaka 2020 fedha zilizotumiwa na China kwenye mambo ya utafiti na maendeleo zilikuwa ni zaidi ya dola bilioni 378 ambalo ni...
Hata kama una pesa nyingi au mafanikio makubwa jaribu kutumia hii mbinu mojawapo ili uweze kuishi vizuri na watu, kujishusha na kujiweka sehemu ya jamii yao. Jaribu kuwakopa pesa ndogo ndogo wale wote uliowazidi kipato au mafanikio ili wao wajue huna tofauti nao n.k
Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya jinsia ya kiume pekee.
Nyamizi ni binti kutoka katika jamii ya kisukuma, aliishi na kulelewa na...
Habari wanajamii forum wenzangu, leo tutaangalia sayansi na teknolojia na vijana katika kuleta tija katika taifa letu.
Karne hii tumeona vile mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia yakizidi kuongezeka, na kadri siku zinavyozidi ndivyo vitu mbalimbali vinazidi gunduliwa.
Kati ya uvumbuzi mkubwa wa...
Watu wengi wamekuwa wanatamani kupata nafasi ya kupendwa na watu wanaowapenda, wahitaji, lakini wamekuwa hawajui njia za kufanikisha hayo yote.
Leo nataka nikupe siri moja.
Ili umvutie mwanadamu yeyote yule basi sharti ujue udhaifu wake uko wapi.
Udhaifu mkubwa wa mwanadamu uko katika mwili...
Nawasalimu wote mliopo kwenye Mtandao huu wenye Uhuru wa kujieleza.
Nimechukua fursa hii kuja na Mada ya kuomba sayansi ya kilimo kurudishwa Mashuleni kuanzia elimu ya msingi Hadi Sekondari.
Somo la Sayansi KILIMO ninaamini Wengi wetu haswa kaka na dada zetu walilisoma ingawa kwa uchache ila...
Mimi nimechanjwa chanjo ya P fizer muda mrefu wakati hapa kwetu tukihubiri malimao na matangawizi, Tuliimba pambio wote za ujasiri wakati huo kuwa beberu hafai na chanjo hazifai
Leo bila aibu na Haya wana CCM tumegeuka ghafla na kuanza kudance ngoma ya mwenyekiti wa chama
Nimeandika uzi huu...
Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali.
Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea...
Serikali inatarajia kuajiri walimu wengine wapya hususani wa masomo ya sayansi na hisabati ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo hayo katika shule za sekondari nchini.
Hayo yamesemwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais-TAMISEMI, mheshimiwa Ummy Mwalimu(mb) akiwa ziarani katika mkoa...
Shule zinafundisha kwamba kijana wa kiume anayefikisha umri wa kubalehe ni kawaida kuota ndoto nyevu, na akiamka hujikuta tu amelowa.
Hii ni sayansi inayochochea vijana wa kiume kuzini na mapepo wakiwa wamelala. Kijana anaona msichana mzuri, amevua nguo na kisha analala naye akiamka anachukulia...
Hivi karibuni, kampuni ya Huawei ya China imetangaza rasmi mfumo wa simu ya kisasa Harmony OS 2 na vifaa kadhaa vinavyotumia mfumo huo. Hatua hii sio tu inamaanisha simu na vifaa vingine vinavyotumia mfumo wa Harmony OS 2 ni bidhaa rasmi inayoingia katika soko, bali pia ni alama kwamba Huawei...
Wakuu,
Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni. Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi.
Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma. Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni...
Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya, China, USA, CANADA, SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida. Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.
Wananchi wao wamepata chanjo na sasa hawana tena hofu na ugonjwa wa CORONA. HUDUMA ZA JAMII, STAREHE, N.K ZIMERUDI KAMA KAWAIDA.
Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.