Wengi wameandika kuhusu kuangalia sayari zkuanzia jana ila hawajaweka urahisi wa jinsi ya kuziona kwa macho pale anga likiwa jeupe bila mawingu.
Nitatoa maelezo kidogo ili kuwasaidia wengi waweze kuziona.
Haya maelezo ni kwa wale wapo karibu na Ikweta zaidi. Ukiwa mbali na Ikweta basi utaona...
Sayarai za Jupiter, Saturn, Mars na Venus zitaonekana angani katika maeneno mbali mbali mwezi huu kuanzia leo
Tazama magharibi baada ya machweo kwa ajili ya kuona sayari ya Venus na Saturn. Sayari ya Mars itaonekana mashariki wakati Jua linazama.
Unaweza kuona sayari za Venus, Mars na Jupiter...
Kati ya mambo yanayobishaniwa sana na wanasayansi na wadadisi wa ulimwengu ni uwepo wa viumbe katika sayari nyingine. Taifa kama la Marekani limewekeza mabilioni ya dola kufuatilia jambo hili.
Je, vitabu vya dini kubwa(Biblia na Quran) vinasemaje au vinatupa mwanga gani kuhusu uwepo wa maisha...
Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo.
Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa viumbe wanaodaiwa kuonekana na uchawi, tatizo kubwa Waafrika mambo mengi yasiyoeleweka huwa...
WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm
ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30
English version is below the Kiswahili information
Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo usiku...
NASA wametoa picha mjongeo ya sayari ya Mars, yaani ni kama inafanana na dunia yetu, nahisi huko mbele kuna watu wataenda kuishi huko.
Source: science.nasa.gov
Dini zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kwa maelfu ya miaka, zikitoa mwongozo wa kimaadili na kiroho. Hata hivyo, kuna hoja mbalimbali zinazotumiwa kuonyesha kwamba dini ni utapeli. Moja ya hoja hizi ni kwanini vitabu vya dini havijataja sayari nyingine zaidi ya Dunia.
Vitabu vya...
Katika falsafa ya kibudha, lengo la elimu linafunganishwa kwa karibu na lengo pana la maisha ya mwanadamu, ambao ni kupatikana kwa mwanga au ukombozi kutoka katika mateso na kukomaa kiakili kitabia, na utashi wa kuitumia hekima kwa mtu binafsi.
Kulingana na Ubudha, sababu kuu za mateso na...
Chombo cha anga za juu cha China, Chang'e No. 6 hivi karibuni kimefanikiwa kurushwa kutoka Kituo cha Anga ya Juu cha Wenchang nchini China kwa kutumia roketi ya Changzheng No. 5. Chombo hicho kitapelekwa katika sehemu ya nyuma ya sayari ya Mwezi, na kufanya utafiti mbalimbali, ikiwemo kuchora...
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.
Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
habari wana JF!!
Leo kati pita pita zangu mtandaoni nikapishana na baadhi ya video za kichafu za transgender, nilisisimka mpaka ndevu sikuwahi kujua maana ya transgender.
Hapo nazidi kuamini kuwa siku za mwisho zipo na masiha atarudi, video zile ni mbaya kuliko hata vita.
GOOBYE JF,NAMRUDIA...
Hakuna bin-adam yeyote awe kiongozi ana raia asiyekua na mapungufu,viongozi wote walikuwa nayo uzuri ni kwamba walifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba walikuwa the greatest,lakini mapungufu yao yapo na yanajadilika sana na yanafahamika sana,lakini leo 2024...
Kwa sasa kila mtu anatambua kuwa kadiri siku zinavyokwenda mbele ndio viwango vya joto duniani vinaendelea kuongezeka, dhana ambayo watu wengi walianza kuwa nayo akilini mwao miongo kadhaa iliyopita.
Tukitupia macho mwaka huu wa 2023 ambao ndio unaelekea ukingoni, tumeshuhudia kwa macho yetu...
Sources:
https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUSbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWJl
https://www.space.com/pluto-atmosphere-may-be-disappearing
Pluto's atmosphere is starting to disappear, scientists find
By Chelsea Gohd
published October 08, 2021
A new study shows how Pluto's atmosphere...
Huu ndo mfumo wa sayari achana kupitia attachment, achana na huo ambao unaouona kutokea NASA
A- sun
Jua haina umbo la duara kama tunavyoaminishwa, kwa lugha nyingine hakuna star yenye umbo la duara kama tunavyoaminishwa
B- Sun Fussion activity
Tofauti na saturn na jupiter, fussion activity...
Basi utakuwa unautazama mwezi wenye muonekano unaofahamika kama Waxing rescent ambao ni muonekano unatokea mara baada ya mwezi kuandama na kuanza safari yake mpya katika zunguka Dunia yetu.
Eneo la mwezi unaloweza kuliona Duniani kwetu ndilo eneo linalopokea mwangaza wa jua au tuseme ndio eneo...
Huwezi kukubali ila kubali sababu sayansi ndio imekufikisha hapa unatumia JF.
Solar system tunayoisoma leo ilikuwa tofauti miaka bilioni 3.8 kabla ya dunia tuliyopo. DUNIA ilijikuta baada ya mabadiliko ya kianga kukumbwa na meteor zilizobadilisha muonekano wa solar system.
Kiufupi tuite kwa...
Umbali wa miaka 100 ya mwanga kutoka duniani kwetu tunakutana na eneo lengine la makazi yanayofanana na kwetu namaanisha duniani kwetu sayari lenye muonekano na tabia zenye mfanano na dunia yetu
Baada ya chunguzi mbalimbali za muda mrefu hatimaye shirika la anga za mbali nasa limefanikiwa...
Mwaka mpya wa 2023 unaashiriwa na tukio la kipekee angani la Mwezi kuficha sayari ya Mirihi (Mars) siku ya Jumanne tarehe 03 Januari. Usiku wa siku hiyo sayari angavu nyekundu ya Mirihi itazibwa na Mwezi ulio karibu kwa kiasi masaa mawili kuanzia saa 4:15 usiku. Kuanzia saa 4:24 Mirihi itaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.