Habari zenu nyote,
Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika mars, swali langu kwa wajuzi wa masuala ya dini, siku ya mwisho itakuaje kama binadamu wengine...