SCANIA 124 G hizi zilikuja chache sana.
MOja nilikuwa nayo mimi tank..
Nyingine alikuwa nayo MArehemu Steven Mchupa nayo Tank,
Tunasafiri kupeleka mafuta Geita......Lami Dar mpaka Dodoma kibao cha PEPSI..
Baada ya hapo unaanza kupiga shimo,,,ndani uko peke yako....ndio watu wachache tulioanza...
Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania.
💸 Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja!
✅ Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi.
📍 Eneo: Upo Dar es Salaam? Tutakuja moja kwa moja hadi eneo lako!
Wananchi wa Dar kaeni Mkao wa kula,vyuma vipya piruuu vya Mwendokasi mda wowote citashushwa tayari kuanza kutumika.👇👇
My Take: Rais Samia Huwa anawajibu Wapinga Maendeleo Kwa Kazi Zinazoonekana.
======
Scania Tanzania wameandika hivi kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii:
Habari wadau...
Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi.
Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
Habari za wakati huu
Sisi wanambeya tunapenda sana scania G7 ya mineso sio hii michina ikipiga tuta unahisi uharo.
Kwanza michina ukipanda unafika umechoka tofauti na scania G7.
Naomba mchango wenu , ushauri, mapendekezo, kuhusu biashara ya lori( Truck),
Mimi nina gari langu SCANIA MENDE, nimefanya nalo biashara ya mchanga kwa miaka 3 , lakini biashara imekuwa ngumu kutokana na kuingia hizi tipa za kichina,
Nimeonelea niibadili iwe box body ya kubeba mizigo kwenda...
2019 Scania R450 6x2 Tractor Unit
Mileage: 677,000kms
MOT: April 25
Euro 6, High roof sleeper cab, auto gearbox, air con, double bunks, fridge, microwave, coffee machine, leather
Price - Tshs 98 million mpaka Dar Port.
2019 Scania P450 · Truck · Driven 550,000 miles
Single Bunk Sleeper Cab
Lightweight midlift
PTO PrepAlloy wheels
ADR Compliant
Ex Sainsbury's
Price - Tshs 62 million mpaka Dar port
Habari za leo wana JF.
Niko katika maandalizi ya kutafuta gari ya Mizigo kwa kazi Zangu za biashara ya mazao.
Biashara yangu ni kukusanya mazao toka maeneo ya vijijini maporini na sehem kama hizo Kisha kupeleka mikoani.
Kulingana na nature ya biashara hii, hulazimika kupita katika njia mbaya...
Hello bosses and roses...
Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri mno, ukichukua MAN moja na trucks za makampuni mengine zenye range sawa ya bei basi utakuta MAN iko...
Nina anzisha huu maalumu kwa mtu yoyote anayetafuta vitu kutoka UK. Hasa magari makubwa(HGVs), heavy equipment, agricultural equipment na magari madogo kama Range Rover, for a reasonable price but good condition.
Nina heshimu siri za mteja(customer confidentiality)
Contact: WhatsApp +44...
Habari wana jf,
Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 .
Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
Habari za jioni, usiku, mchana na asubuhi. Nimekuwa nikijuiliza sana ni nani alileta huu usafiri wa boda boda, maana nikikumbuka miaka ya nyuma usafiri tegemezi ulikuwa ni dala dala, teksi na gana gana. Ila ghafla zikaibuka maboda boda ambao wamekua kero sana kila sehemu kwa kuendesha piki piki...
Naombeni kujua bei ya engine and gearbox mtumba za scania 124.
Kuna mtu anataka kuniuzia lakini naona anataja bei kubwa kuliko nilivyoelekezwa na fundi wangu.
PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
bmw
discovery
dualis
fuso
isis
mark x
mazda
nissan
nissan dualis
note
offa
pdf
raum
scania
series
spacio
subaru
subaru forester
suzuki
toyota
ubaya
ufupi
ushauri
volvo
wapenzi
Habari za leo wadau
Natafuta scania la kukodi kama mtu hana mizigo mimi ninayo
Namlipa kwa mwezi kiasi tutakacho kubaliana au kwakila mzigoninaosafirisha
Scania iwe nzima
Kwa sasa sina uwezo wa kununua used kutoka nnje
Nalipa pesa inadvance kila safari
Akhsante
Nakaribisha maoni
Natumia sana usafiri wa mabasi, bado sijaona mbadala wa Scandinavian kwa kweli. Hawa akina Sauli, Shabiby, sijui ABC bado sana aisee.
Scandinavian ilikuwa bora kuanzia kwenye vyuma vyenyewe yaani Scania tupu hakuna Layland hadi kwenye huduma. Ligi ya sasa ni vyuma vya mchina aka kambi popote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.