Habari za usiku wandugu?
Naombeni msaada kwa anayejua mahali ambapo naweza kupata vipuri vya scania na bei zake
naomba anipe mwongozo.
Item No.
Description of items
PRICE
2.
Fuel filter 1R-0749
4
Air Cleaner 371-1799
5
Main element 151-7737
7
Water seperator CH10930.
8
Air...
Habarini za usiku wakuu.
Ninahitaji vifaa vifuatavyo vy scania kwa anayejua mahali ninapoweza kuvipata na bei zake chondechonde
naomba asisite kunipa mwongozo.
Item No.
Description of items
PRICE
2.
Fuel filter 1R-0749
4
Air Cleaner 371-1799
5
Main element 151-7737
7...
Nna hitaji kujua kiundani kuhusu Scania trucks na model zake. Kuna threads nyingi humu ndani zimeongelea Trucks kwa ujumla, hasa ziki compare trucks za mchina na mzungu. Ila hakuna thread iliyozichambua model tofauti tofauti za Scania (Truck Pendwa).
Mwenye uzoefu na model yoyote ya Scania...
salam za amani wana jamii,
Nauza Scania za mwisho mwisho, kila moja mil 37 C&f, ushuru unalipa mwenyewe. Karibuni sana
Scania114/380
Year 2003
Engine Cummins
WhatsApp Nr +255675308774
Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru
Yanga...
Habari wana bodi,
Mninga unauzwa, uko kwenye hali nzuri.
Vibali vyote (LATRA, BIMA,MAPATO) viko hai,
Ina bima kubwa(Comprehesive)
Ni gea 8
Inauzwa kwa bei ya kutupwa
4omil(Price is negotiable)
Call 759 888 018 for more details
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.